Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Basi itakuwa kuna upepo wanapuliziwa bila ya wao kujua that's why hawajielewi.Vingine vipo vyuoni huko havijui hata hatma ya kesho yao lakini ndio vinajifanya et vinadamu ya kijani.
Kuna classmates wangu kadhaa nawaona mitandaoni hasa Facebook wakiwa ndani ya nguo za CCM. Kwakuwa Mimi ni mwajiriwa wa serikali hii basi wanajua mimi ni mwana CCM pia...
We ni mshenzi na mpumbavu acheni ubinafsi hovyo kabisaKuna chama cha nchi yoyote Duniani ikiwemo USA kilichomaliza tatizo la ajira kwa wananchi wake!?.. Ndo maana nyuzi zenu karibu zote sisiti kuwaita WAPUMBAVU.
HaaahaaaaVijana wanaikubali CCM
Ni kweli ajira ni tatizo la dunia mzima lakini ni taifa la kipumbavu peke yake ndiyo litaacha waalimu na madaktari mtaani wakati shule na hospitali hazina wanataaluma husika lakini hapo hapo taifa linapoteza millions of dollars kuwekeza kwenye crazy projects kama ndege huku likijigamba linanunua ndege kwa cash!Ajira ni tatizo la dunia nzima wala usijidanganye kuwa Chadema wakibahatika kuchukua nchi watamaliza tatizo la ajira Tanzania.
Pia wapinzani mmekua mkilia kuwa katiba inakandamizwa wakati huo huo unasahau kuwa katiba imetoa uhuru kwa mwananchi yeyote kuchagua kuwa mwanachama wa chama chochote kadri itakavyompendeza.
Kuhusu kada ya madaktari na walimu nenda kafanye research ya kutosha ndo uje tujadiliane. Nakuahidi saa sita mchana nitakuja na data za kutosha.Ni kweli ajira ni tatizo la dunia mzima lakini ni taifa la kipumbavu peke yake ndiyo litaacha waalimu na madaktari mtaani wakati shule na hospitali hazina wanataaluma husika lakini hapo hapo taifa linapoteza millions of dollars kuwekeza kwenye crazy projects kama ndege huku likijigamba linanunua ndege kwa cash...