Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
- #41
Mwambie kosa lake huenda atajirekebishaKuna jamaa yangu ana degree ya ualim anatembeza nguo afu anashabikia ccm asa kila akinambiaga ana shda hua simtoi yeye hua hajui kosa lake