Mashabiki wa Yanga siyo mbumbumbu kama mlivyo nyinyi mlioletewa Caesar Manzoki kuja kuwasalimia tu kwenye uchaguzi, halafu kura zote mkampa Mwenyekiti Mangungu.Wengine walikuwa wa jangwani wakimshangilia Mayele
Na wakongo wengi wamejaa DSMUshindi umewafanya waonekane wengi ila kiuhalisia walikuwa wachache. Basi zilizowabeba zilikuwa kama 8 hivi.
65x8=520 ukichanganya na wengine hawafiki hata 1,000.
Ila wakongo wanajitoa sana kuisapoti timu yao licha ya baadhi yao kuzuiwa kuingia uwanjani.
Yuleyule ambaye sifa huwa zinaenda kwake kipindi cha matokeo mazuri hata sasa lawama zimuendee popote alipo.Mwenye macho haambiwi tazama Leo Taifa kwa ujumla wamepata aibu yaani kwenye mechi ya Taifa starz VS DR Congo.
Mashabiki wa congo wengi kuliko mashabiki wa Taifa Starz ndani ya uwanja wa nyumbani B.W.Mkapa stadium? Kweli?
Hivi ni kwasababu watanzania hawapendi timu yao ya Tanzania au wacongo kwasasa hapa Dar es salaam ni wengi sana?
Mtaani wacongo wamejaa wanatubeza sisi ni watoto hatujui mpira.
Tokos.
Hao walikuja na timu au wapo?Na wakongo wengi wamejaa DSM
RDC ....Eloko ya makasiMwenye macho haambiwi tazama Leo Taifa kwa ujumla wamepata aibu yaani kwenye mechi ya Taifa starz VS DR Congo.
Mashabiki wa congo wengi kuliko mashabiki wa Taifa Starz ndani ya uwanja wa nyumbani B.W.Mkapa stadium? Kweli?
Hivi ni kwasababu watanzania hawapendi timu yao ya Tanzania au wacongo kwasasa hapa Dar es salaam ni wengi sana?
Mtaani wacongo wamejaa wanatubeza sisi ni watoto hatujui mpira.
Tokos.
Aleez ale LeopardsUshindi umewafanya waonekane wengi ila kiuhalisia walikuwa wachache. Basi zilizowabeba zilikuwa kama 8 hivi.
65x8=520 ukichanganya na wengine hawafiki hata 1,000.
Ila wakongo wanajitoa sana kuisapoti timu yao licha ya baadhi yao kuzuiwa kuingia uwanjani.