Maajabu: Inawezekana vipi mashabiki wa kigeni kuwa wengi kuliko wenyeji?

Hata wanaosaidia simba nà yanga kushinda siyo wàtanzania. Sisi hatuna wachezaji hata wakishinda ni sawa tuu.
 
Tatizo hiyo timu imebinafsishwa imekuwa mali ya mwenyekiti wa CCM.
 
Wapo watz wengi walishangilia saana wakishirikiana na wacongo wachache.Huo ndio ukweli.Labda tutafute ni kwa nini.
 
Yuleyule ambaye sifa huwa zinaenda kwake kipindi cha matokeo mazuri hata sasa lawama zimuendee popote alipo.
Mpira ni starehe mtu kwenda uwanjani mpaka apende Mpira Sisi watz hatupendi soka tunapenda timu yaani S na Y tu. wakongo wanaoenda starehe hiyo sifa ya 1 kutokana na mtawala wao yaani France kwa hiyo lazima wazidi uwanjani hilo lisitupe lawama wazee wenzangu
 
Kwa hiyo Watanganyika kwetu mpira siyo starehe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…