Maajabu !! Jamani huyu shemeji yangu ni vipi?

ana mapepo huyo, ni wa kufanyiwa deliverance

Huyo halmashaur ya kichwa yake ime be disturbed, aende hosptal haraka iwezekanavyo.

Huyo ana laana kama kamzingua hadi mama ake,mkajaribu Milembe mkishindwa mwacheni aendelee na vituko mana itakua laana

Huyo baba wa watu ni mgonjwa....Wanatakiwa kumpeleka haraka kwa daktari kabla hajaanza kuwachinja!

Na daktari specialist kwa tatizo na matatizo yake ni YESU peke yake,..
Lakini pia,nyie wote wanafamilia mnao mlalamikia inawapasa kumfuata YESU ili awaokoe na
kuibeba mizigo yenu,kumbukeni kwamba mtamlaumu sana huyo mwanaume,lakini
hata akifa leo,lazima mtambue kwamba ninyi pia ni chagizo la yeye kutenda yote hayo.

Laiti kama mngekua na imani kwa Mungu na kuomba kila mara,tatizo kama hilo lingetokea basi
mngejua jinsi ya kulishungulikia,siwahukumu,ila nawaambia kwamba ni mda sasa MUMPE YESU KRISTO MAISHA yenu
ili ayatawale,....

Anasema:-"NJOONI KWANGU NINYI NYOTE MSUMBUKAO NA WENYE KULEMEWA NA MIZIGO NAMI NITAWAPUMZISHA"

Sio maajabu ya huyo kaka anaewasumbua unayotaka tujadili hapa kama tatizo,ila ni maajabu ya kwenu pia kutokujua
nini cha kufanya jambo kama hilo linapotokea,....

Mleteni kwa YESU,na NJOONI KWA YESU pia amekwisha kulipia gharama za hayo yote yanayotokea sasa msalabani
na atawasamehe na kurejesha mahusiano mema BURE

Regards,
Speaker

Mnahitaji mabaunsa wa kumpeleka hospitali? najua watu wa aina hiyo ni vigumu kuwapeleka hospitali, hawezi kukubali ni mgonjwa.

Sielewi mtu aliyenitukania mamangu mzazi matusi ya nguoni bado nibebe mimba yake ?!

Anyways mpelekeni kwa wataalamu na jihadharini naye, anafanya kazi gani haswa?

Nakumbuka kuna technician mmoja anafufua majenereta ya kikoloni ila zikicharuka alikuwa anakimbiza watu site na mapanga, na ana mke na watoto, yeye anatibiwa kwa Dr Godapet Mbagala

huyo ni mgonjwa anahitaji matibabu haraka sana maana inavyoelekea atafanya kitu kibaya zaidi ya hicho

Laana hizo aende kwao akatambike. Huko kuanza kutukana wakwe tu ni dalili tosha kwamba laana ishamwingia. Akatubu huko alikokosea na ubaya wa laana, ni kwamba aliyelaaniwa mwenyewe hawezi kujitambua hadi nyie wa pembeni mmsaidie.

hamuachagi kurudi kwenye mianzi! Kamwene!

Faiza wewe kiboko sijui kama atarudi kuomba ushauri tena.

Inawezekana ukawa sahihi ila mara nyingi sipendi kuchanganya mambo. Medical problems need medical solutions. Hata hivyo wanaweza kuendelea na maombi ila ni muhimu sana kuonana na daktari haraka sana.

Sipendi mzaha kama ule wa kupeleka wagonjwa wa Ukimwi kwa Babu wa Loliondo!!

i real support u mbali na hapo wanapenda kuwaamini watu wanaowadanganya na kutoamini anayesema ukweli.

poleni sana, chakufanya naona uchukue tahadhari mapema ya kumrudisha dada yako maana kwa hatua aliyofikia anaweza hata kumchinja dadako usiku,then upelekeni hospital

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…