Maajabu: Jana nimenyimwa utamu baada ya kufika hotelini na nguo tumeshavua

Maajabu: Jana nimenyimwa utamu baada ya kufika hotelini na nguo tumeshavua

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Wandugu mnaweza kuniita jina lolote baya mnaloweza kujisikia kuniita. Iwe zezeta, zoba, Boya, punga, mwanaume suruali, hanithi vyovyote mimi nitakubali tu.

Ni baada ya jana ambapo nilipanga na mpenzi wangu tukutane ktk hotel moja ya kifahari hapa jijini Dar baada ya muda kama mwaka hivi hatujaonana na mwanamrembo huyo. Kwa kuwa nilikuwa nimejikoki niko sawa nikiwa na Rupia za kutosha, akili na mwili niko murua kabisa. Sina mawazo wala wasi wasi. Nilianza kupanga nae maandalizi toka wiki jana, na alionekana kuwa na shauku sana kuonana na mimi na alionekana ana Genye nyingi zimemjaa kweli kweli.

Mambo yalienda kombo kinyume na matazamio yangu. Kwanza tulianzia reception pale kuna resta ya maana tukachangamsha mwili na supu ya maana. Kumbuka hakuna msongamano wala fujo kutokana na kashikashi za Corona.

Baada kama saa moja hivi tukajichomeka ndani. Ilikuwa raha ukifika ndani lazima umwage razi yaani urudi utotoni kama ulivyozaliwa. Nasi tukafanya hivyo kukidhi mahitaji ya nature. Lakini cha ajabu bidada wangu kila ninachofanya ha respondi yaani mwitikio wake kama vile ananiogopa nina corona. Basi nikapunguza speed. Nikaona labda hayuko na mood vile.

Nikapiga reverse ya harakati zangu. Nikaanza na gia mpya shawishi mtuu weeee lakini wapi. Vuta huku vuta kule, shika hapa shika pale lakini mmh!! Kama niko na zombie vile au roboti. Badae sana nikaamua kusepa. Nilimtafutia Uber pale ikampeleka mpaka nyumbani kwake alipofika mida ya saa 1 jioni akanipigia simu akisema" I love u" nikajisemea moyoni "Go to the hell you big demon"

Usiku wa jana nikalala natafakari vituko alivyonifanyia. Bado sikupata majibu nikampandia hewani kuuliza nini hasa tatizo. Akanijibu eti ina maana wewe kila ukikutana na mimi unawaza mapenzi tu?? Nikamjibu sasa unataka niwaze nini kama hatujaonana mwaka mzima unataka nikikuona niwaze nini??

Wanadada mnisaidie kabla sijampiga chini huyu mwenzenu. Au kashanipiga chini yeye??
Asalaam Aleykum!
 
Ulikuwa umepiga deki sakafuni ama uliachia msitu uliokuwa umestawi sana?
Je mtarimbo ulikuwa kama kangaroo ama?

Jr[emoji769]
Kiukweli kama umenisoma vizuri nilikuwa nimejipanga kimwili na kiroho. Sikuwa na wasi wasi. Nilikuwa huru. Shekeli za maana. Location ya nguvu.
 
Wa kwangu nililipia lodge ya bei mbaya pale Arusha then tumefika anaanza sarakasi na sitaki nataka. Ule usumbufu sikuupenda hata kidogo, baadae akakubali nikamuandaa lakini wapi haoneshi nia wala hajitumi. Nikapiga hivohivo hata kimoja sikumaliza akadai anachoka, mwenyewe mkavu tu nikaona isiwe kesi.
Toa mtu sindikiza kwao nikaenda zangu location kupoteza muda. Mojawapo ya vitu vilivyofanya nimuache ni kutokuwa romantic. Safari ijayo naenda Tanga.
 
Maswali yangu mawili kwako!
1. Ulinawa kwa sanitizer?
2. Ulikuwa na barakoa?

Siku nyingine mlete Chibunu Guest huku Bunda, hawezi kataa. Hapo alikuwa na hofu na muingiliano wa Wageni kutoka nje. Au wew huna taarifa na from China to the rest of the world!!![emoji2][emoji2]

Pole Sana Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom