Maajabu: Jana nimenyimwa utamu baada ya kufika hotelini na nguo tumeshavua

mkuu kuna mambo bila shaka yameshawahi kuharibu mood ya bidada, kama unamfikisha mahali wanaita kilele hawezi kukataa dushe lako. hataki kusema tu ukweli ila hiyo pochi inawenyewe ambao akiona tu simu zao tayari analoa.
Kweli inawezekana mkuu itabidi mimi nijikatae mazima
 
Yeap..ilikuwepo mkuu but si angeuliza pale pale tumalize hizo mambo..
Basi kumbe ulikuwa na makosa hata ww ungeona kiashiria cah live live kuwa anapigwa na mtu mwingine ungekata tamaa
 
Before sikuwa nimeena hicho alichoona..mpaka pale aliponiambia nilipoangalia ndo nikaona..issue why asubiri mpaka nilipie lodge ndo azinguee..angezingue before tungesave hiyo ankara mkuu
 
Wanawake wengne wanapendaga wabakaj,mi kama nmetumia gharama siwez kumuacha kirahis lazma kipgwe,inaonekana show zako za nyuma zilkuwa hazimfurahish kwahyo hata sku hyo alioona utamchafua tu
Hapo issue ilikuwa kubaka! Lalamikia muda na gharama ulizopoteza tia kibao kimoja matata! Utasikia "Haya basi navua"!
 
Before sikuwa nimeena hicho alichoona..mpaka pale aliponiambia nilipoangalia ndo nikaona..issue why asubiri mpaka nilipie lodge ndo azinguee..angezingue before tungesave hiyo ankara mkuu
Hiyo ni misuse of money, alitakiwa akulipe tu hamna namna nyingine.
 
Wandugu mnaweza kuniita jina lolote baya mnaloweza kujisikia kuniita. Iwe zezeta, zoba, Boya, punga, mwanaume suruali, hanithi vyovyote mimi nitakubali tu.

Ni baada ya jana ambapo nilipanga na mpenzi wangu tukutane ktk hotel moja ya kifahari hapa jijini Dar baada ya muda kama mwaka hivi hatujaonana na mwanamrembo huyo. Kwa kuwa nilikuwa nimejikoki niko sawa nikiwa na Rupia za kutosha, akili na mwili niko murua kabisa. Sina mawazo wala wasi wasi. Nilianza kupanga nae maandalizi toka wiki jana, na alionekana kuwa na shauku sana kuonana na mimi na alionekana ana Genye nyingi zimemjaa kweli kweli.

Mambo yalienda kombo kinyume na matazamio yangu. Kwanza tulianzia reception pale kuna resta ya maana tukachangamsha mwili na supu ya maana. Kumbuka hakuna msongamano wala fujo kutokana na kashikashi za Corona.

Baada kama saa moja hivi tukajichomeka ndani. Ilikuwa raha ukifika ndani lazima umwage razi yaani urudi utotoni kama ulivyozaliwa. Nasi tukafanya hivyo kukidhi mahitaji ya nature. Lakini cha ajabu bidada wangu kila ninachofanya ha respondi yaani mwitikio wake kama vile ananiogopa nina corona. Basi nikapunguza speed. Nikaona labda hayuko na mood vile.

Nikapiga reverse ya harakati zangu. Nikaanza na gia mpya shawishi mtuu weeee lakini wapi. Vuta huku vuta kule, shika hapa shika pale lakini mmh!! Kama niko na zombie vile au roboti. Badae sana nikaamua kusepa. Nilimtafutia Uber pale ikampeleka mpaka nyumbani kwake alipofika mida ya saa 1 jioni akanipigia simu akisema" I love u" nikajisemea moyoni "Go to the hell you big demon"

Usiku wa jana nikalala natafakari vituko alivyonifanyia. Bado sikupata majibu nikampandia hewani kuuliza nini hasa tatizo. Akanijibu eti ina maana wewe kila ukikutana na mimi unawaza mapenzi tu?? Nikamjibu sasa unataka niwaze nini kama hatujaonana mwaka mzima unataka nikikuona niwaze nini??

Wanadada mnisaidie kabla sijampiga chini huyu mwenzenu. Au kashanipiga chini yeye??
Asalaam Aleykum!
Mmmh....!!! Mkuu huyo atakuwa ameanza ARVs . Hakutaka kukwambia akaongea kwa lugha ambayo alijua utaelewa . Kukupenda anakupenda nd'o maana kakuokoa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hutokea ya kunyimwa kitobo na pisi, ilisha nitokea mara 2(2012&2014) kwa kuwa na huruma.

Ila wakati mwingine anakunyima kukuokoa na gonorrhea, ukimwi,

ukiwa mrafi kama mm saiv lazima ufe tu, maana ata mtu akiwa bleed sikubali hadi nione kwa vitendo na sio kwa kidole
 
Before sikuwa nimeena hicho alichoona..mpaka pale aliponiambia nilipoangalia ndo nikaona..issue why asubiri mpaka nilipie lodge ndo azinguee..angezingue before tungesave hiyo ankara mkuu
Mkuu....unadhani baada ya kuiyona cheni hata hamu ya tendo alikuwa naye tena kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kawaida mkuu!
Usiwe na haraka,kwakua ni muda hamjaonana ungeongea nae stori za kawaida then mkalala bila kufanya chochote. Siku ya pili angekupa mwenyewe bila shida.
Wandugu mnaweza kuniita jina lolote baya mnaloweza kujisikia kuniita. Iwe zezeta, zoba, Boya, punga, mwanaume suruali, hanithi vyovyote mimi nitakubali tu.

Ni baada ya jana ambapo nilipanga na mpenzi wangu tukutane ktk hotel moja ya kifahari hapa jijini Dar baada ya muda kama mwaka hivi hatujaonana na mwanamrembo huyo. Kwa kuwa nilikuwa nimejikoki niko sawa nikiwa na Rupia za kutosha, akili na mwili niko murua kabisa. Sina mawazo wala wasi wasi. Nilianza kupanga nae maandalizi toka wiki jana, na alionekana kuwa na shauku sana kuonana na mimi na alionekana ana Genye nyingi zimemjaa kweli kweli.

Mambo yalienda kombo kinyume na matazamio yangu. Kwanza tulianzia reception pale kuna resta ya maana tukachangamsha mwili na supu ya maana. Kumbuka hakuna msongamano wala fujo kutokana na kashikashi za Corona.

Baada kama saa moja hivi tukajichomeka ndani. Ilikuwa raha ukifika ndani lazima umwage razi yaani urudi utotoni kama ulivyozaliwa. Nasi tukafanya hivyo kukidhi mahitaji ya nature. Lakini cha ajabu bidada wangu kila ninachofanya ha respondi yaani mwitikio wake kama vile ananiogopa nina corona. Basi nikapunguza speed. Nikaona labda hayuko na mood vile.

Nikapiga reverse ya harakati zangu. Nikaanza na gia mpya shawishi mtuu weeee lakini wapi. Vuta huku vuta kule, shika hapa shika pale lakini mmh!! Kama niko na zombie vile au roboti. Badae sana nikaamua kusepa. Nilimtafutia Uber pale ikampeleka mpaka nyumbani kwake alipofika mida ya saa 1 jioni akanipigia simu akisema" I love u" nikajisemea moyoni "Go to the hell you big demon"

Usiku wa jana nikalala natafakari vituko alivyonifanyia. Bado sikupata majibu nikampandia hewani kuuliza nini hasa tatizo. Akanijibu eti ina maana wewe kila ukikutana na mimi unawaza mapenzi tu?? Nikamjibu sasa unataka niwaze nini kama hatujaonana mwaka mzima unataka nikikuona niwaze nini??

Wanadada mnisaidie kabla sijampiga chini huyu mwenzenu. Au kashanipiga chini yeye??
Asalaam Aleykum!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naenda huko next week wewe lini mkuu?
Wa kwangu nililipia lodge ya bei mbaya pale Arusha then tumefika anaanza sarakasi na sitaki nataka. Ule usumbufu sikuupenda hata kidogo, baadae akakubali nikamuandaa lakini wapi haoneshi nia wala hajitumi. Nikapiga hivohivo hata kimoja sikumaliza akadai anachoka, mwenyewe mkavu tu nikaona isiwe kesi.
Toa mtu sindikiza kwao nikaenda zangu location kupoteza muda. Mojawapo ya vitu vilivyofanya nimuache ni kutokuwa romantic. Safari ijayo naenda Tanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom