Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simaanishi kwenda Tanga safari, naamisha kudate na mtoto wa Tanga. Hawa warembo wote si wananichanganya tu sasa bora nitoke na mwenye advantage nijue moja.
Naeleewa hilo mkuu..tatizo mbona asiseme kabla sijalipa tusave hayo mapene...Mkuu....unadhani baada ya kuiyona cheni hata hamu ya tendo alikuwa naye tena kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wandugu mnaweza kuniita jina lolote baya mnaloweza kujisikia kuniita. Iwe zezeta, zoba, Boya, punga, mwanaume suruali, hanithi vyovyote mimi nitakubali tu.
Ni baada ya jana ambapo nilipanga na mpenzi wangu tukutane ktk hotel moja ya kifahari hapa jijini Dar baada ya muda kama mwaka hivi hatujaonana na mwanamrembo huyo. Kwa kuwa nilikuwa nimejikoki niko sawa nikiwa na Rupia za kutosha, akili na mwili niko murua kabisa. Sina mawazo wala wasi wasi. Nilianza kupanga nae maandalizi toka wiki jana, na alionekana kuwa na shauku sana kuonana na mimi na alionekana ana Genye nyingi zimemjaa kweli kweli.
Mambo yalienda kombo kinyume na matazamio yangu. Kwanza tulianzia reception pale kuna resta ya maana tukachangamsha mwili na supu ya maana. Kumbuka hakuna msongamano wala fujo kutokana na kashikashi za Corona.
Baada kama saa moja hivi tukajichomeka ndani. Ilikuwa raha ukifika ndani lazima umwage razi yaani urudi utotoni kama ulivyozaliwa. Nasi tukafanya hivyo kukidhi mahitaji ya nature. Lakini cha ajabu bidada wangu kila ninachofanya ha respondi yaani mwitikio wake kama vile ananiogopa nina corona. Basi nikapunguza speed. Nikaona labda hayuko na mood vile.
Nikapiga reverse ya harakati zangu. Nikaanza na gia mpya shawishi mtuu weeee lakini wapi. Vuta huku vuta kule, shika hapa shika pale lakini mmh!! Kama niko na zombie vile au roboti. Badae sana nikaamua kusepa. Nilimtafutia Uber pale ikampeleka mpaka nyumbani kwake alipofika mida ya saa 1 jioni akanipigia simu akisema" I love u" nikajisemea moyoni "Go to the hell you big demon"
Usiku wa jana nikalala natafakari vituko alivyonifanyia. Bado sikupata majibu nikampandia hewani kuuliza nini hasa tatizo. Akanijibu eti ina maana wewe kila ukikutana na mimi unawaza mapenzi tu?? Nikamjibu sasa unataka niwaze nini kama hatujaonana mwaka mzima unataka nikikuona niwaze nini??
Wanadada mnisaidie kabla sijampiga chini huyu mwenzenu. Au kashanipiga chini yeye??
Asalaam Aleykum!
Atakuwa na shida na amekuonea hurumaaa.Wandugu mnaweza kuniita jina lolote baya mnaloweza kujisikia kuniita. Iwe zezeta, zoba, Boya, punga, mwanaume suruali, hanithi vyovyote mimi nitakubali tu.
Ni baada ya jana ambapo nilipanga na mpenzi wangu tukutane ktk hotel moja ya kifahari hapa jijini Dar baada ya muda kama mwaka hivi hatujaonana na mwanamrembo huyo. Kwa kuwa nilikuwa nimejikoki niko sawa nikiwa na Rupia za kutosha, akili na mwili niko murua kabisa. Sina mawazo wala wasi wasi. Nilianza kupanga nae maandalizi toka wiki jana, na alionekana kuwa na shauku sana kuonana na mimi na alionekana ana Genye nyingi zimemjaa kweli kweli.
Mambo yalienda kombo kinyume na matazamio yangu. Kwanza tulianzia reception pale kuna resta ya maana tukachangamsha mwili na supu ya maana. Kumbuka hakuna msongamano wala fujo kutokana na kashikashi za Corona.
Baada kama saa moja hivi tukajichomeka ndani. Ilikuwa raha ukifika ndani lazima umwage razi yaani urudi utotoni kama ulivyozaliwa. Nasi tukafanya hivyo kukidhi mahitaji ya nature. Lakini cha ajabu bidada wangu kila ninachofanya ha respondi yaani mwitikio wake kama vile ananiogopa nina corona. Basi nikapunguza speed. Nikaona labda hayuko na mood vile.
Nikapiga reverse ya harakati zangu. Nikaanza na gia mpya shawishi mtuu weeee lakini wapi. Vuta huku vuta kule, shika hapa shika pale lakini mmh!! Kama niko na zombie vile au roboti. Badae sana nikaamua kusepa. Nilimtafutia Uber pale ikampeleka mpaka nyumbani kwake alipofika mida ya saa 1 jioni akanipigia simu akisema" I love u" nikajisemea moyoni "Go to the hell you big demon"
Usiku wa jana nikalala natafakari vituko alivyonifanyia. Bado sikupata majibu nikampandia hewani kuuliza nini hasa tatizo. Akanijibu eti ina maana wewe kila ukikutana na mimi unawaza mapenzi tu?? Nikamjibu sasa unataka niwaze nini kama hatujaonana mwaka mzima unataka nikikuona niwaze nini??
Wanadada mnisaidie kabla sijampiga chini huyu mwenzenu. Au kashanipiga chini yeye??
Asalaam Aleykum!
Mdogo wangu Scofied Kuna sehemu umekosea. Inaonekana umelipia vyote ila yeye hukumlipa!Ishatokea....tulifika kabisa na nishalipia kila kitu..nataka kuanzaa mchezo mchezo naona mtu hana mood...shika shika wapi? Nikaona isiww tabu nikavaa nguo zangu nikamwambia utanikuta kwenye gar...baada ya mda akatoka kanuna,nikawasha gar nikasepa kumwaga town niendelee na mishe zangu..baadae eti ananiuliza ile cheni ya kike iliyokatika niliyoiona kwnye gar yako ni ya nani? Umeanza umalaya ehee?
Nikamuuliza kwanini ukuniuliza pale pale et sikuwa na.mood...hawa viumbe ni umiza kichwa aisee.
mnakwama wapi vijana? ukiona demu hana mood na wewe umeshalipia Lodge...mtoe mapema halafu uingize chuma kipya ujigongeeWa kwangu nililipia lodge ya bei mbaya pale Arusha then tumefika anaanza sarakasi na sitaki nataka. Ule usumbufu sikuupenda hata kidogo, baadae akakubali nikamuandaa lakini wapi haoneshi nia wala hajitumi. Nikapiga hivohivo hata kimoja sikumaliza akadai anachoka, mwenyewe mkavu tu nikaona isiwe kesi.
Toa mtu sindikiza kwao nikaenda zangu location kupoteza muda. Mojawapo ya vitu vilivyofanya nimuache ni kutokuwa romantic. Safari ijayo naenda Tanga.
Endeleeni kuambukizana kwa raha zenu.
Nami nakumbuka tukio sawia na hili miaka kadhaa nyuma. Tulielewana na mrembo tukaenda naye out katika hoteli moja ya kifahari. Tuliweza Kula na kunywa. Ilipofika kitu saa tisa alasiri tukakata chumba kizuri kwl. Tulianza romance lkn mrembo akawa na tetezi zake eti ameolewa na hataki kumsaliti mume. Kumbuka tulisafiri kutoka eneo liningine hadi huku kwenye hoteli. Tukavuliana nguo lkn kwa kuvutana. Alidinda kabisa kuvuliwa pichu na nkaonelea isiwe issue. Nlimkubalia kuvaa na nikamsindikiza akaenda zake huku nyege zatisha kuniangamiza kwa kumruhusu bidada kuondoka.Wandugu mnaweza kuniita jina lolote baya mnaloweza kujisikia kuniita. Iwe zezeta, zoba, Boya, punga, mwanaume suruali, hanithi vyovyote mimi nitakubali tu.
Ni baada ya jana ambapo nilipanga na mpenzi wangu tukutane ktk hotel moja ya kifahari hapa jijini Dar baada ya muda kama mwaka hivi hatujaonana na mwanamrembo huyo. Kwa kuwa nilikuwa nimejikoki niko sawa nikiwa na Rupia za kutosha, akili na mwili niko murua kabisa. Sina mawazo wala wasi wasi. Nilianza kupanga nae maandalizi toka wiki jana, na alionekana kuwa na shauku sana kuonana na mimi na alionekana ana Genye nyingi zimemjaa kweli kweli.
Mambo yalienda kombo kinyume na matazamio yangu. Kwanza tulianzia reception pale kuna resta ya maana tukachangamsha mwili na supu ya maana. Kumbuka hakuna msongamano wala fujo kutokana na kashikashi za Corona.
Baada kama saa moja hivi tukajichomeka ndani. Ilikuwa raha ukifika ndani lazima umwage razi yaani urudi utotoni kama ulivyozaliwa. Nasi tukafanya hivyo kukidhi mahitaji ya nature. Lakini cha ajabu bidada wangu kila ninachofanya ha respondi yaani mwitikio wake kama vile ananiogopa nina corona. Basi nikapunguza speed. Nikaona labda hayuko na mood vile.
Nikapiga reverse ya harakati zangu. Nikaanza na gia mpya shawishi mtuu weeee lakini wapi. Vuta huku vuta kule, shika hapa shika pale lakini mmh!! Kama niko na zombie vile au roboti. Badae sana nikaamua kusepa. Nilimtafutia Uber pale ikampeleka mpaka nyumbani kwake alipofika mida ya saa 1 jioni akanipigia simu akisema" I love u" nikajisemea moyoni "Go to the hell you big demon"
Usiku wa jana nikalala natafakari vituko alivyonifanyia. Bado sikupata majibu nikampandia hewani kuuliza nini hasa tatizo. Akanijibu eti ina maana wewe kila ukikutana na mimi unawaza mapenzi tu?? Nikamjibu sasa unataka niwaze nini kama hatujaonana mwaka mzima unataka nikikuona niwaze nini??
Wanadada mnisaidie kabla sijampiga chini huyu mwenzenu. Au kashanipiga chini yeye??
Asalaam Aleykum!
Nilikuwa nae mmoja tu huyo, nilipomuacha nikabaki mwenyewe. Siwezi kuwa na wengi kwa wakati mmoja.mnakwama wapi vijana? ukiona demu hana mood na wewe umeshalipia Lodge...mtoe mapema halafu uingize chuma kipya ujigongee