Wewe toa elimu
Mtu akiwa comfortable Kushoto maana yake nini na mtu akiwa comfortable kulia maana yake nini basi.
Pata hii kwa kuanzia: Hii explanation yake inatokana na kitu fulani wanabaiolojia wengine wanakikubali, wengine wanakataa.
Suala la kuwepo kwa ubongo wa kulia na ubongo wa kushoto
Ni kwamba wote tunazitumia pande zote mbili, ubongo mzima kuchakata taarifa na kufanya maamuzi
Ubongo wa kushoto una logics na mahesabu mengi[black and white zaidi] wakati ubongo wa kulia una ubunifu na hisia na [marangirangi mengi]
So ile hali ya kuvibe na kuflow na vitu ipo zaidi kulia na anayefikiria kuanzia kulia atatumia sana hii kwenye maamuzi ya harakaharaka so anajikuta outgoing. Inakuwa ni kama maji yanapokuwa mengi ndiyo unaflow nayo vizuri zaidi. Au rangi zinapokuwa nyingi ndiyo ubunifu unaongezeka. In short wanapenda kuvibe/kuparty flan ivi
Lakini huku kushoto kunakuwaga na kuchakata sana details na facts na malogic sasa unakuta huyu mtu kwanza ukimuoverload mambo/watu mengi inakuwa usumbufu. So anayefikiria kuanzia upande huu atapenda mazingira yenye vichache vya kuchakata ili achakate kwa raha. Anapata vingi vya kufanya kazi katika vichache vinavyomzunguka- Details
Mwisho mwishoni unakuta hawa watu wanakuwa na ka mtiririko fulani/continuuum inayoegemea upande anaoufavour zaidi. Anaojihisi confortable nao zaidi kulingana na yeye.
Kama ambavyo huwezi kumfosi mtu mwingine kwamba kuweka hicho kidole cha kulia tu, au kushoto tu ndio confortable way, ndivyo ambavyo hutakiwi kumfosi mtu kwamba kuwa na watu wengi au wachache ndio confortable way. Kila mmoja anaona vile anavyoona. Maajabu ya Mungu kaumba watu wa jinsi mbalimbali ili tutumikiane na tukamilishane hapa duniani✌
Hint: Maelezo nahisi yanachanganya zaidi ili uchanganyikiwe na wewe ukatafute taarifa zaidi. 'I believe the process of going from
confusion to understanding is a precious, even emotional, experience that can be the foundation of self-confidence.- Brian Greene