Maajabu! Jiji la Mombasa halina stand ya bus

hahaaa..ni dalili za kushindwa.huyu jamaa anadhani kwao ndio wanajenga peke yake,hajui joho ata aliinstall new street lights apo nyali bridge..nadhani alifika mwisho 1994 mmi...hahaaa
hahahahaha yani nilijua lazima muingie kwenye mtengo nilikua nawasubiria hapo tu😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
hahahahaha mm nimekwambia hio picha ilikua inafananishwa na nyali lakini sio nyali kama nyali elewa kiswahili hahahahahahhaha hatoki humu mtu
hahahaaa....bure kabisa.yani huoni ata matatu apo kwa bridge zina yellow line.unamchezo na mombasa nni
 
matatu yellow ikwapi hapo unamfanya nani mjinga huu ndiio mtego nilikua nasubiri muingie very good hahahahahah😀😀😀
 
angalia length ya nguzo na no ya nguzo za chini hahahahah bro kumbe wewe akili yako ndogo sana 😀😀😀😀😀😀😀😀
Picha haiezi tumiwa kudecide length iyo yako camera imezoom hii ingine imepigwa hadi the surrounding.. Ebu Tuma picha za mwanza tukuabishe
 
hahahaha tazama nyali bridge acheni kusingizia picha za watu hhhahahahha😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Umeenda mbali sana
Nairobi yenywe haina stand ya maana
 
matatu yellow ikwapi hapo unamfanya nani mjinga huu ndiio mtego nilikua nasubiri muingie very good hahahahahah😀😀😀
5-jpg.494693

yani huoni yellow lines kwa izo matatu apo nyuma......hahahhaaaa...ndugu unatia huruma kwa kweli...ebu msikizeni huyu,nadhani kawa kipofu pia
 
Picha haiezi tumiwa kudecide length iyo yako camera imezoom hii ingine imepigwa hadi the surrounding.. Ebu Tuma picha za mwanza tukuabishe
acha ujinga wewe mm sio mgeni hapo hahahhahahahaha nilijua huu mtego utaingia ndio maana nilikua nakusubiri wewe tu😀😀😀😀😀😀😀😀
 
5-jpg.494693

yani huoni yellow lines kwa izo matatu apo nyuma......hahahhaaaa...ndugu unatia huruma kwa kweli...ebu msikizeni huyu,nadhani kawa kipofu pia
😀😀😀😀😀😀😀😀 patamu leo munafananisha bridge za watu na nyali alaf unasema nyali hahahahahha leo mumenifurahisha sana wallah😀😀😀😀😀😀
 
hahaa...nenda ukalale sasa na usiwai rudia kufananisha mwanza na msa.ati bridge ya watu..ebu tuambie ni ya wapi?
 
Umeona nyali ndio hio sasa hahahhhahahahahha😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
download (20).jpg
download (20).jpg
 
hahaa...nenda ukalale sasa na usiwai rudia kufananisha mwanza na msa.ati bridge ya watu..ebu tuambie ni ya wapi?
hahahahahahah wazee wa sifa wazee wakuhamisha visivo hamishika huu ndio mtego nilikua nausubiria mujiingize wenyewe hahahahahhahahahha😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
yani mulivo wajinga angalia kuzuio cha pemebeni nyali ni concrete ile bridge ya watu ni chuma hhahahahahahh😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 sifa kibao alafu hamuna kitu
 
huyoooooo.....aibu hii ya leo.
 
Back
Top Bottom