Maajabu! Jiji la Mombasa halina stand ya bus

hahaaa..ni dalili za kushindwa.huyu jamaa anadhani kwao ndio wanajenga peke yake,hajui joho ata aliinstall new street lights apo nyali bridge..nadhani alifika mwisho 1994 mmi...hahaaa
hahahahaha yani nilijua lazima muingie kwenye mtengo nilikua nawasubiria hapo tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hahahahaha mm nimekwambia hio picha ilikua inafananishwa na nyali lakini sio nyali kama nyali elewa kiswahili hahahahahahhaha hatoki humu mtu
hahahaaa....bure kabisa.yani huoni ata matatu apo kwa bridge zina yellow line.unamchezo na mombasa nni
 
hahahaaa....bure kabisa.yani huoni ata matatu apo kwa bridge zina yellow line.unamchezo na mombasa nni
matatu yellow ikwapi hapo unamfanya nani mjinga huu ndiio mtego nilikua nasubiri muingie very good hahahahahahπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
angalia length ya nguzo na no ya nguzo za chini hahahahah bro kumbe wewe akili yako ndogo sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Picha haiezi tumiwa kudecide length iyo yako camera imezoom hii ingine imepigwa hadi the surrounding.. Ebu Tuma picha za mwanza tukuabishe
 
hahahaha tazama nyali bridge acheni kusingizia picha za watu hhhahahahhaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Umeenda mbali sana
Nairobi yenywe haina stand ya maana
 
matatu yellow ikwapi hapo unamfanya nani mjinga huu ndiio mtego nilikua nasubiri muingie very good hahahahahahπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

yani huoni yellow lines kwa izo matatu apo nyuma......hahahhaaaa...ndugu unatia huruma kwa kweli...ebu msikizeni huyu,nadhani kawa kipofu pia
 
Picha haiezi tumiwa kudecide length iyo yako camera imezoom hii ingine imepigwa hadi the surrounding.. Ebu Tuma picha za mwanza tukuabishe
acha ujinga wewe mm sio mgeni hapo hahahhahahahaha nilijua huu mtego utaingia ndio maana nilikua nakusubiri wewe tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
yani huoni yellow lines kwa izo matatu apo nyuma......hahahhaaaa...ndugu unatia huruma kwa kweli...ebu msikizeni huyu,nadhani kawa kipofu pia
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ patamu leo munafananisha bridge za watu na nyali alaf unasema nyali hahahahahha leo mumenifurahisha sana wallahπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ patamu leo munafananisha bridge za watu na nyali alaf unasema nyali hahahahahha leo mumenifurahisha sana wallahπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
hahaa...nenda ukalale sasa na usiwai rudia kufananisha mwanza na msa.ati bridge ya watu..ebu tuambie ni ya wapi?
 
Umeona nyali ndio hio sasa hahahhhahahahahhaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
meanwhile the kongowea market gets a new look...
 
hahaa...nenda ukalale sasa na usiwai rudia kufananisha mwanza na msa.ati bridge ya watu..ebu tuambie ni ya wapi?
hahahahahahah wazee wa sifa wazee wakuhamisha visivo hamishika huu ndio mtego nilikua nausubiria mujiingize wenyewe hahahahahhahahahhaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
yani mulivo wajinga angalia kuzuio cha pemebeni nyali ni concrete ile bridge ya watu ni chuma hhahahahahahhπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sifa kibao alafu hamuna kitu
 
yani mulivo wajinga angalia kuzuio cha pemebeni nyali ni concrete ile bridge ya watu ni chuma hhahahahahahhπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sifa kibao alafu hamuna kitu
huyoooooo.....aibu hii ya leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…