Maajabu! Jiji la Mombasa halina stand ya bus

here it is again...so kama hutaelewa apo then jipange
unaelewa nachokwambia hahahahahhaha huu ndio mtego wangu kwa cholo mzii ndio maana kalala mbele hahahahhahahahaha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ endelea nyali bridge naijua vzr sanaa huna chakunieleza my friend ndio maana nimekwambia hio picha ilikua ikifananishwa na nyali and its not real image ya nyaliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
unaleta photo ya zamani yenye ata sheheena haikuwa imeanza kujengwa.i think you are now in denial,,,so suit yourself
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ u have made my day at least mtego wangu umekua successful hahahahhahahaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ata tanzania hivyo vitu vipo mabasi yana stage zake lakini still kuna stand za serikali... So msikimbie hlo
 
hahahahahahah wazee wa sifa wazee wakuhamisha visivo hamishika huu ndio mtego nilikua nausubiria mujiingize wenyewe hahahahahhahahahhaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tuambie basi ni bridge gani io acha ujuaji
 
Tuambie basi ni bridge gani io acha ujuaji
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nimeshakuekea nyali usituletee picha za watu hapa ufananishe na ya kwenu
usilete ujuaji sanaaaaaa hio ndio nyali bridge
 
wabongo mkiishiwa mna balaa sana,,,,uwa mnasema kenya ni nairobi.ona aibu iliyowakuta apa
heheheheheheh kazi munayo choloo mzii yukwapi kakata kona hahahahhaha nimemshika kutamu sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
We hujawai toka dar ka hujui nyali bridge sasa ulifikaje Mombasa...uwongo zako haziendagi 4 long
 
jamaa alifika msa ya kitabu...hajawai toka dar kabisa
 
My Friend stop being ignorant of what you are aguing about!! This bridge you are posting is in Kilifi!

Yaani hata Kilifi inawachanganya!!

Hamjaona miji mnashtukia, hapa tukianza ya kilifi ama malindi mtaanza kulialia

Picha zaidi za daraja hilo ndio hizi hapa

Malimbukeni msijiweke kwa Kenya

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nimeshakuekea nyali usituletee picha za watu hapa ufananishe na ya kwenu
usilete ujuaji sanaaaaaa hio ndio nyali bridge
View attachment 494749
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nimeshakuekea nyali usituletee picha za watu hapa ufananishe na ya kwenu
usilete ujuaji sanaaaaaa hio ndio nyali bridge
View attachment 494749
Ulikimbia nhee!!?
As you were arguing about Mombasa's bridges, this is Mombasa roads in the suburbs, as we talk of Nairobi Mombasa is on the move!!

Jaffery Center a complex as bigger than Moroco Center Dar

Galaxy Bar and Grill
 
heheheheheheh kazi munayo choloo mzii yukwapi kakata kona hahahahhaha nimemshika kutamu sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
rudi huku wewe....ulikimbia nni?hiyo mwanza uliyokua unaifananisha na msa iko wapi...hehee.mwanza ya 2017..lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…