Maajabu! Jiji la Mombasa halina stand ya bus

Maajabu! Jiji la Mombasa halina stand ya bus

Unafahamu mahali kwa jina country bus station? fahamu kampuni nyingi za mabasi zimekuwa na stendi Zao purely for customer convenience. Mfano enzi za kituo cha Abood bus hapo msimbazi.
Amesahau enzi za scandinavia express na hood na akamba...wote walikuwa na stand zao privately..even dar express pale shekilango
 
14031534_1062855963770167_974477110_n.jpg
mombasani
 
Niaminini Mwanza Ni Kubwa Na Nzuri Kuliko Mombasa

Nairobi Ina Magorofa Mahali Pamoja Na Mataa Mengi

Dar Ni Pana... Ni Kama Uchukue Miji Mitatu Uunganishe
 
Back
Top Bottom