Maajabu! Jiji la Mombasa halina stand ya bus

Maajabu! Jiji la Mombasa halina stand ya bus

wIX2ATJ.jpg

xanadu luxury apartments mombasani
 
Oya tutaendelea kesho kesho job inshallah tutapambana vzr kesho hii ndio 2017 tukitoka hapa tunaenda kisumu na arusha alaf Nakuru na Zanzibar hahahhahah alaf kericho kwa tanga
 
Alafu kisii na mbeya yani tutakula sahani moja mpaka nione migori imeingia humu ndani
 
Oya tutaendelea kesho kesho job inshallah tutapambana vzr kesho hii ndio 2017 tukitoka hapa tunaenda kisumu na arusha alaf Nakuru na Zanzibar hahahhahah alaf kericho kwa tanga
hahaa...haina wasi.kwa mombasa mtachanganya mwanza na arusha......
 
hahaa...haina wasi.kwa mombasa mtachanganya mwanza na arusha......
Sijamaliza Mwanza bado hahahhahahaha utaifahamu vzr usijali sijagusa hotels vzr nilikua nagusagusa tu keaho tutapambana vyema alaf ujiandae kisumu kwa arusha, Nakuru na Zanzibar hahhahahahha alafu kisii na mbeya alafu Jericho kwa tanga yaaani hehehheheh will see
 
Maana dar ishawaburuza kwa nairobi, so tutamaliza kesho vzr ili tuendelee kisumu na arusha sasa ujipange vyema
 
Siku mkiwa na battle na dsm cjui na mji gani huko kenya ntakuja kuchangia
 
Maana dar ishawaburuza kwa nairobi, so tutamaliza kesho vzr ili tuendelee kisumu na arusha sasa ujipange vyema
hamna lolote mlilo buruza..thread ilijaa ushabiki mwingi tu,,apa nshkulemea vibaya ata huna jinsi.mwanza kwa msa bado tena sana
 
hamna lolote mlilo buruza..thread ilijaa ushabiki mwingi tu,,apa nshkulemea vibaya ata huna jinsi.mwanza kwa msa bado tena sana
mm nilikwambia mapema sana kwa dar muingize mombasa na kisumu isaidie nairobi yani nairobi kwa dar ni mji mdogo tena mdogo sana hahahahhahahahah yani 696 km squfananishe na 1590.5 km sq serious hahahhahahahah ukichukua nairobi +mombasa + kisumu munaishia 1196 km sq yani still kwa dar hamutoboi hahahahahahahha😀😀😀😀😀😀😀😀😀 yani ndugu dar iweke mbali kabisa hahahahahaha hio tulishawaburuza nje ndani , sasa tunakuja hapa alafu kisumu kwa arusha hahahahaha muone kama mutatoa kucha alafu nakuru na zanzibar hahahahahhaha alafu kericho na tanga yani hatoki mtu humu mpaka tumalize
 
Kwani town zote za Tanzania ni sura mbaya except Arusha.
I hope Hiyo ni mwanza ugly
 
Kwani town zote za Tanzania ni sura mbaya except Arusha.
I hope Hiyo ni mwanza ugly
😀😀😀😀😀😀 maana mombasa ni nzuri yenye majenngo yakizamani yamechakaaa hahahahhahahaha😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom