jamani mambo mengine picha muhimu Sana ili nasitufananishe.wengine hatujaona
Weka picha tumuone hyo mtu
Ndugu jana kuanzia saa moja na nusu jioni Star tv alioneshwa msanii mmoja akihojiwa ambaye mpaka waandishi wa habari alimwambia "yawezekana wewe siyo kanumba ila umefanana naye kila kitu"
Huyu jamaa anafanana marehemu kwanzia kimo,sauti,mwonekano mpaka kucheka na kibaya zaidi anaonekana kaigiza muvi na akina Jenifa ..tulishindwa kuamini,yeyote aliyeona atupe maoni ya hili
AH... Ni huyu wa round about ya ymca moshi.....
nilikuwa sijui....Ndo kanumba
Wamefanana kiasi tu ile sura ya kitusii
Huyu hapa mkuu amefanana sana na Kanumba.View attachment 164240
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app