Maajabu katika Shule ya Msingi Manyoni Singida

Maajabu katika Shule ya Msingi Manyoni Singida

we ni k kubwa sahvi sangapi?umewahi kusikia wapi watu wanalala asubuhi?ndyo mana nimesema upo nje ya nchi.

Acha ubishi wa kijjjiinga ,wengine ndo tunatoka job saa hizi humu bongo we ukilala salama ujue wengine wamekesha ili we ukorome vizuri!!!!!!

Tena mvua na baridi kama kawa!!!!!!

Kajenge nchi wengine wapumzike ili ukiangalia mechi usiku Bar kuwe na amani!!!!!!
Kulala ni suala la majukumu sio muda!!!!!
 
Shule ya Msingi SEFANONI iliyopo katika Wilaya ya Manyoni Singida imeingia katika maajabu ya shule kuendelea kuwepo huku kukiwa hakuna mambo yanayowezesha uwepo wa utoaji wa taaruma katika shule hiyo kwani Mwalimu mkuu wa shule hiyo katika kikao cha Halmashauri kilichofanyika ili kupanga mikakati ya kuinua Elimu aliweza kuelezea kuwa shule yake ya SEFANONI ina WALIMU WAWILI TU yaani yeye na mwalimu mwingine, Shule ina MADARASA MAWILI TU, Shule ina IDADI YA WANAFUNZI 500, Ebu tujifikirie kwa idadi ya wanafunzi hawa, idadi ya Madarasa na walimu je kuna elimu inayotolewa hapo? na kusikitisha Afisa Elimu ametoa taarifa kwa msisitizo kuwa Serikali kupitia hii BRN wilaya imepewa kiwango cha ufauru lazima kifikie 68% na yeye amesema wao kama Wilaya wamejiwekea 70% ya Ufauru, Je kwa hali ya Shule zinazolingana na hiyo ya SEFANONI malengo hayo yatatimia au ni kuendeleza USANII katika suala zima la elimu hapa nchini?
kibogo ,wacha kuona waTZ hawana akili yaani madarasa mawili watoto 500 kila darasa 250? Hebu tueleze ukubwa wa darasa ukoje! Au wanasomea chini ya mwembe?
 
Last edited by a moderator:
Bado naongea na wananchi au wakazi wa maeneo hayo. Hakuna waliomalizaform 6 au diplomas au degress na hawajapata kazi wajitolee kuwanasua wadogo zao?
Miaka ya 80 kulianzishwa azimio la musona ambapo form 6 wote walifundisha kabla ya kwenda chuo. Ilisaidia sana kupunguza pengo la waalimu. Siongei siasa . Nawaza elimu ya hawa watoto. Serikali za vijiji na halmashauri wafanye jambo.
 
7.jpg


Ukiona hivyo utajua Halmashauri inaongozwa na chama gani.

Hao ni watu au migomba!! Tehetehe
 
Acha ubishi wa kijjjiinga ,wengine ndo tunatoka job saa hizi humu bongo we ukilala salama ujue wengine wamekesha ili we ukorome vizuri!!!!!!

Tena mvua na baridi kama kawa!!!!!!

Kajenge nchi wengine wapumzike ili ukiangalia mechi usiku Bar kuwe na amani!!!!!!
Kulala ni suala la majukumu sio muda!!!!!


Ha ha ha Mkuu ahsante umenijibia maana humu siku hizi tumevamiwa na Akili za ajabu afadhali ya mwewe....
 
Bado naongea na wananchi au wakazi wa maeneo hayo. Hakuna waliomalizaform 6 au diplomas au degress na hawajapata kazi wajitolee kuwanasua wadogo zao?
Miaka ya 80 kulianzishwa azimio la musona ambapo form 6 wote walifundisha kabla ya kwenda chuo. Ilisaidia sana kupunguza pengo la waalimu. Siongei siasa . Nawaza elimu ya hawa watoto. Serikali za vijiji na halmashauri wafanye jambo.

Kwa nini wajitolee wakati walimu wapo hawaajiriwi????!!!!!
It is high time system iamke na kuangalia needy communities!!
 
ni hao wanaokesha mm c hao wanaokesha.

Sasa mbona uliuliza nimeona wapi watu wanalala asubuhi?


Tumia kichwa kufikiri halafu huku hakukufai nenda kajadili Mpira na mapenzi kule....
 
Bila shaka kuitaja shule kwa jina lake ni ushahidi tosha kwa asiyeamini anaweza kwenda kutaguta uhakika huko..by the way hali hiyo ipo maeneo mengi haswa ya ukanda wa kati..bila shaka hii inachangiwa na nature ya mazingira na watu wenyewe wa maeneo husika...sometimes siyo lazima kila lawama kuirushia serikali......hata huko walikopiga hatua wapo wati waliojitoa na kuumia kwaajili ya maendeleo ya eneo lao...cha kufanya ni kuondoa siasa katika mambo yanayohitaji utekelezaj zaidi maana kwa kuwasikiliza wanasiasa kama kina T.L matokeo yake ni kuendelea kubaki gizani.......wazazi hawapo tayari kushiriki katika shughuli za kimaendeleo ....wanaamini kila kitu serikali itafanya.....hata kutoa kashilingi 1000tu ili mtoti ale uji na chakula cha.mchana shuleni mzazi hataki etti ni kazi ya serikali...just imagine.kwa uelewa wa kawaida kiasi hicho cha pesa mtu anakula siku ngapi katika hali ya kawaida??!!!!sasa kama dogo hivyo linawashonda sembuse hayo mazito ndio wataweza??!!!bado kuna safari ndefu ya.kuwafikisha hawa watu wahuu ukanda kule wanapotakiwa kwenda...ni safari ndefu mno
 
acha ubishi wa kijjjiinga ,wengine ndo tunatoka job saa hizi humu bongo we ukilala salama ujue wengine wamekesha ili we ukorome vizuri!!!!!!

Tena mvua na baridi kama kawa!!!!!!

Kajenge nchi wengine wapumzike ili ukiangalia mechi usiku bar kuwe na amani!!!!!!
Kulala ni suala la majukumu sio muda!!!!!

pole na majukumu unalinda kwa wahndi?pole sna ndyo ajira zetu serikali iliyotuwezesha kujiajiri.pole sna ndgu angu
 
huko kwa chiligati ccm inanguvu balaa wananchi wako hoi
 
Wananchi wa Singida, wanashawishiwa na Tundu Antipas Lisu,eti wasichangie chochote cha maendeleo, mpaka serikali iwafanyie! Hawaoni wenzao huko Kilimanjaro, wazazi wanaitisha harambee mara kwa mara kuchangia elimu na mambo mbali mbali ya kimaendeleo. Waache wamsikilize Tundu.

harambee ya kuajiri walimu au? Na huyo lisu anawashawishije watu kutokuchangia maendeleo katika maeneo yao? Jaribu kuona zaidi ya uonavyo juu ya fedha lukuki zinazotolewa kwa ajili ya miradi hewa huko kwenye halmashauri yako na ujiulize ni miradi mingap iliyowahi kukamilika kwa 100%. Anza na wilaya yako. Kisha utuambie wilayani kwako umeshachangia mradi gani? Ulikamilika? Kama siyo itakuwa lisu alipita kwenu kuwakataza siyo? Kubali tu kuwa serikali yako imeshindwa kwa kila kitu hata kumwajiri mwalimu kwa mshahara wa sh. 180,000/= haiwezi bali kumlipa mbunge sh. 300000/= kwa siku inawezekana! Oneni aibu ccm loh!
 
pole na majukumu unalinda kwa wahndi?pole sna ndyo ajira zetu serikali iliyotuwezesha kujiajiri.pole sna ndgu angu

Bora ingekuwa kwa muhindi mzee,nalinda vituo vipya vya mabasi yaendayo kasi!!!!!
 
Nyie akina Lusungo nitawapiga Ban sasa..msitusumbue kujibizana mambo ya ajabu
 
Back
Top Bottom