OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
we ni k kubwa sahvi sangapi?umewahi kusikia wapi watu wanalala asubuhi?ndyo mana nimesema upo nje ya nchi.
kwahiyo asubuhi watu hawalali? Wanaokesha makazini asubuhi hawalali? Au kulala wewe unakuchukuliaje?
kibogo ,wacha kuona waTZ hawana akili yaani madarasa mawili watoto 500 kila darasa 250? Hebu tueleze ukubwa wa darasa ukoje! Au wanasomea chini ya mwembe?Shule ya Msingi SEFANONI iliyopo katika Wilaya ya Manyoni Singida imeingia katika maajabu ya shule kuendelea kuwepo huku kukiwa hakuna mambo yanayowezesha uwepo wa utoaji wa taaruma katika shule hiyo kwani Mwalimu mkuu wa shule hiyo katika kikao cha Halmashauri kilichofanyika ili kupanga mikakati ya kuinua Elimu aliweza kuelezea kuwa shule yake ya SEFANONI ina WALIMU WAWILI TU yaani yeye na mwalimu mwingine, Shule ina MADARASA MAWILI TU, Shule ina IDADI YA WANAFUNZI 500, Ebu tujifikirie kwa idadi ya wanafunzi hawa, idadi ya Madarasa na walimu je kuna elimu inayotolewa hapo? na kusikitisha Afisa Elimu ametoa taarifa kwa msisitizo kuwa Serikali kupitia hii BRN wilaya imepewa kiwango cha ufauru lazima kifikie 68% na yeye amesema wao kama Wilaya wamejiwekea 70% ya Ufauru, Je kwa hali ya Shule zinazolingana na hiyo ya SEFANONI malengo hayo yatatimia au ni kuendeleza USANII katika suala zima la elimu hapa nchini?
ni hao wanaokesha mm c hao wanaokesha.
Ukiona hivyo utajua Halmashauri inaongozwa na chama gani.
Acha ubishi wa kijjjiinga ,wengine ndo tunatoka job saa hizi humu bongo we ukilala salama ujue wengine wamekesha ili we ukorome vizuri!!!!!!
Tena mvua na baridi kama kawa!!!!!!
Kajenge nchi wengine wapumzike ili ukiangalia mechi usiku Bar kuwe na amani!!!!!!
Kulala ni suala la majukumu sio muda!!!!!
Bado naongea na wananchi au wakazi wa maeneo hayo. Hakuna waliomalizaform 6 au diplomas au degress na hawajapata kazi wajitolee kuwanasua wadogo zao?
Miaka ya 80 kulianzishwa azimio la musona ambapo form 6 wote walifundisha kabla ya kwenda chuo. Ilisaidia sana kupunguza pengo la waalimu. Siongei siasa . Nawaza elimu ya hawa watoto. Serikali za vijiji na halmashauri wafanye jambo.
ni hao wanaokesha mm c hao wanaokesha.
Ha ha ha Mkuu ahsante umenijibia maana humu siku hizi tumevamiwa na Akili za ajabu afadhali ya mwewe....
Hataki hata kujiongeza tu????!!!!
Reasoning yake ni very poor
Atakuwa muhitimu wa Zefanoni
we umeshaharibiwa na t.u.n.d.u!
acha ubishi wa kijjjiinga ,wengine ndo tunatoka job saa hizi humu bongo we ukilala salama ujue wengine wamekesha ili we ukorome vizuri!!!!!!
Tena mvua na baridi kama kawa!!!!!!
Kajenge nchi wengine wapumzike ili ukiangalia mechi usiku bar kuwe na amani!!!!!!
Kulala ni suala la majukumu sio muda!!!!!
Wananchi wa Singida, wanashawishiwa na Tundu Antipas Lisu,eti wasichangie chochote cha maendeleo, mpaka serikali iwafanyie! Hawaoni wenzao huko Kilimanjaro, wazazi wanaitisha harambee mara kwa mara kuchangia elimu na mambo mbali mbali ya kimaendeleo. Waache wamsikilize Tundu.
pole na majukumu unalinda kwa wahndi?pole sna ndyo ajira zetu serikali iliyotuwezesha kujiajiri.pole sna ndgu angu