Maajabu kwenye biashara ya jeans

Nimepata utata baada ya kugundua suruali za jeansi zinauzwa MAKAMBAKO elfu 16 Kwa bei ya jumla. Lakini Dar zinauzwa elfu20kwa (bei ya jumla ) na kuendelea. Ivi hapo Siri ni nini naombeni tujadili kidogo
Wapi k/koo jeans unauziwa 20k? Kuna mawili either hujui machimbo au quality zina tofautiana
 
Unajua jeans quality wewe!

Hivi hizo jeans midosho unaita quality

Ova
 
[emoji28]

Vunja bei hovyo kabisa izo nguo anazo zatangaza wanavaaga sijui watu gan aisee na wamavaaga wakiwa wanakwenda wapi Mana ni full hovyoo

Lkn quality mbona anauza bei sanaaa
Wanavaa mambugila
Si ndy waliyojaa

Ova
 
Nimepata utata baada ya kugundua suruali za jeansi zinauzwa MAKAMBAKO elfu 16 Kwa bei ya jumla. Lakini Dar zinauzwa elfu20kwa (bei ya jumla ) na kuendelea. Ivi hapo Siri ni nini naombeni tujadili kidogo
Songea pia vitu nafuu kuliko Songea. Kikubwa inategemea amenunua wapi. Wafanyabiashara wengi sasa wanaagiza moja kwa China. So mzigo hadi unafika Makambako au Songea unakuwa cheap. Hauna middle mana hapa.
 
Vunjabei hana jeans quality ni ronyaronya tupu tu
 
Me najua jinsi zipo za 8000, 10000, 12,000, 15000 na 16000
Hapa inabidi uwe unajua chimbo maana jinsi ya 12 na 16 ukiangalia kwa haraka haraka hazina tofauti ki vile
Hapo tujulishane machimbo mkuu
 
Lakini pia inawezekana mzigo unapitia Zambia huo ambako ni cheap pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…