Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Qualiti ni Ile Ile. Lakini nadhani huku Makambako wakinga wanatumia mfumo ule wa kuvunja bei. Yaani anauza pic nyingi lakini Kwa faida ndogo per item. Ukizingatia pic anazo ziuza so inalipa Sana. Tofauti na mtu anaye uza bei ya juu lakini anauza kidogoBiashara ni ujanja sana, lakini kodi ya pango kkoo ni kubwa kuliko huko makambako ndani ndani, angalia quality pia. Hata hivyo kuwa makini nyingine za wizi.
Wew Kariakoo jeans n 16 kw bei ya jumlaNime pata utata baada ya kugundua suruali za jeansi zinauzwa MAKAMBAKO elfu 16 Kwa bei ya jumla. Lakini dar zinauzwa elfu20kwa (bei ya jumla ) na kuendelea. Ivi hapo Siri ni nini naombeni tujadili kidogo
Nime pata utata baada ya kugundua suruali za jeansi zinauzwa MAKAMBAKO elfu 16 Kwa bei ya jumla. Lakini dar zinauzwa elfu20kwa (bei ya jumla ) na kuendelea. Ivi hapo Siri ni nini naombeni tujadili kidogo
Dar mbona jumla jeans ni elfu 13 au unasemea dar ipiNime pata utata baada ya kugundua suruali za jeansi zinauzwa MAKAMBAKO elfu 16 Kwa bei ya jumla. Lakini dar zinauzwa elfu20kwa (bei ya jumla ) na kuendelea. Ivi hapo Siri ni nini naombeni tujadili kidogo
Mshamba uyo kkoo 12 na 13 jeans
Acha upambe unasifia mpaka bossi anaona unaharibuLabda na mimi niongeze kitu.
Kuna dada alikuwa anauza nguo online, wakati wa kupiga story kasema
Ananunua.
1. Shati 12000
2. T-shirt 12000
Sasa nikamuuliza wewe unachukulia wap?? Kasema kariakooo!
Kuna siku nikamwomba nimpeleke kariakoo nikamwoneshe machimbo.
Nikampeleka sehemu ambazo
1. Shirt na t-shirt ni 8000
Ninachotaka kusema ni kwambaa biashara ni siri na kila mtu anajua sira ya kile anachokifanya.
Mfano. Fred vunja bei, sio kwamba ety mchawi hapana, yeye anataka faida ndogo na vitu vyake ni quality.
Nguo za vunjabei ukifua mara mbili tu nguo hiyo huwezi kuivaa kwenye tukio muhimuAcha upambe unasifia mpaka bossi anaona unaharibu
Anaquality ipi ya jeans huyo uliomtaja
Sent from my nokia JamiiForums mobile app
Me najua jinsi zipo za 8000, 10000, 12,000, 15000 na 16000Nime pata utata baada ya kugundua suruali za jeansi zinauzwa MAKAMBAKO elfu 16 Kwa bei ya jumla. Lakini dar zinauzwa elfu20kwa (bei ya jumla ) na kuendelea. Ivi hapo Siri ni nini naombeni tujadili kidogo
Nime pata utata baada ya kugundua suruali za jeansi zinauzwa MAKAMBAKO elfu 16 Kwa bei ya jumla. Lakini dar zinauzwa elfu20kwa (bei ya jumla ) na kuendelea. Ivi hapo Siri ni nini naombeni tujadili kidogo
Nimepata utata baada ya kugundua suruali za jeansi zinauzwa MAKAMBAKO elfu 16 Kwa bei ya jumla. Lakini Dar zinauzwa elfu20kwa (bei ya jumla ) na kuendelea. Ivi hapo Siri ni nini naombeni tujadili kidogo
Acha upambe unasifia mpaka bossi anaona unaharibu
Anaquality ipi ya jeans huyo uliomtaja
Sent from my nokia JamiiForums mobile app
Nguo za vunjabei ukifua mara mbili tu nguo hiyo huwezi kuivaa kwenye tukio muhimu
Tupeane connectionNimepata utata baada ya kugundua suruali za jeansi zinauzwa MAKAMBAKO elfu 16 Kwa bei ya jumla. Lakini Dar zinauzwa elfu20kwa (bei ya jumla ) na kuendelea. Ivi hapo Siri ni nini naombeni tujadili kidogo
mzima dada mekufta inbox naitaji msaada wako kdgoDar gani kaka unasemea na jinsi za aina gani? Tunanunua jeans elfu 6 jumla dar zile za kike skin jeans boyfriend jeans shorts za jeans na vigaun vya jeans kila moja ukichukua mzigo mkubwa jumla ni elfu 6 kwa pc moja
Rejareja elfu 7 kwa pic moja na bado mkoan hata nikiuza 15 inalipa
Labda na mimi niongeze kitu.