Hii habari ngumu sana kuiamini, manake binadamu kuzaa samaki, yawezekana huyo Mama alikuwa azae mapacha, lakini zile stages za development za mtoto mmoja zikawa normal na za huyo kama Kamongo ikawa abnormal, hivyo hakufikia hali ya kuonekana mtu kamili. Lakini kuzaliwa mzima, mmhh!. Ilitakiwa ufanyike uchunguzi wa DNA za hicho kiumbe Kamongo na Mama mtu. Nampa pole Mama na ndugu manake huo ni mtihani.