Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,730
- 530
Wiki iliyopita kulikuwa na habari ya kushtusha TBC1. Iliripotiwa kuwa Mama Mmoja huko Nguruka mkoani Kigoma alijifungua Samaki aina ya Kamongo na Mtoto (mwanadamu). Kabla ya kujifungua mtoto wa kawaida, mama huyo alijifungua kwanza Samaki huyo ambaye alizaliwa mzima kabla ya kufaa baada ya muda mfupi. Baada ya Samaki huyo kuzaliwa, alizaliwa na mtoto (mwanadamu) ambaye alizaliwa akiwa amekufa.
Mama huyo aliruhusiwa kutoka hospitali baada ya siku moja baada ya hali yake kuwa nzuri.
Duniani maajabu hayaishi.
Mama huyo aliruhusiwa kutoka hospitali baada ya siku moja baada ya hali yake kuwa nzuri.
Duniani maajabu hayaishi.