Maajabu:Mama Alikiba asema Alikiba alianza kucheza muziki akiwa na siku saba

Maajabu:Mama Alikiba asema Alikiba alianza kucheza muziki akiwa na siku saba

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wasalaam wana jamvi.
Mama wa msanii Alikiba ameweka wazi leo kuwa msanii Alikiba alijulikana kama ana kipaji cha muziki baada ya kuzaliwa akiwa na siku saba...
Akielezea jinsi ambavyo walijua kipaji cha mtoto wao alisema Baba yake Alikiba wakati ametoka kwenye mihangaiko aliingia ndani nakuamua kuwasha radio bila kujua kulikuwa kuna muziki unapigwa basi Alikiba alianza kucheza muziki ule ikiwa ni siku saba tuu toka amezaliwa....
Basi toka hapo ndipo walipogundua Alikiba ana kipaji cha muziki.
Source:EATV

Wasalaam wana jamvi
 
Kakichanga ka siku saba kacheze mziki huyo bi mkubwa naona kaona atupige changa.

-Ndumilakuwili-
 
Watoto raha sana, pengine alikuwa anatikisa-tikisa Kichwa kuashiria mziki umemkuna!
 
Hahaha, hata Kim Jong sung wa korea kaskazini naye tunaaambiwa aliweza kutembea na kuongea akiwa na umri wa miezi sita!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaahahahaahaa hahahahaahhaahhaha . Wahenga waliosema eti kiki hutafutwa na wahusika ... wahenga ao ni wazaliwa wa dar hahahahahahaahha

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom