Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eneka.Alikua anacheza wimbo gan
Sasa mkuu inasikitisha nn ???......
Hahahahaha noma sanaEneka.
Wasalaam wana jamvi.
Mama wa msanii Alikiba ameweka wazi leo kuwa msanii Alikiba alijulikana kama ana kipaji cha muziki baada ya kuzaliwa akiwa na siku saba...
Akielezea jinsi ambavyo walijua kipaji cha mtoto wao alisema Baba yake Alikiba wakati ametoka kwenye mihangaiko aliingia ndani nakuamua kuwasha radio bila kujua kulikuwa kuna muziki unapigwa basi Alikiba alianza kucheza muziki ule ikiwa ni siku saba tuu toka amezaliwa....
Basi toka hapo ndipo walipogundua Alikiba ana kipaji cha muziki.
Source:EATV
Wasalaam wana jamvi
Wamemfuata wenyewe kumhoji hajajipelekaKuna wakati mwingine mtu lazima ufikiri cha kuongea. Hivi huyo mama anamjua mtoto wa siku saba alivyo? Mama Kanumba aliongea sana mwishowe alichokwa na vyombo vya habari. Mbona kina Baba huwa hawana kiherehere cha kuongea na vyombo vya habari?