Wasalaam wana jamvi.
Mama wa msanii Alikiba ameweka wazi leo kuwa msanii Alikiba alijulikana kama ana kipaji cha muziki baada ya kuzaliwa akiwa na siku saba...
Akielezea jinsi ambavyo walijua kipaji cha mtoto wao alisema Baba yake Alikiba wakati ametoka kwenye mihangaiko aliingia ndani nakuamua kuwasha radio bila kujua kulikuwa kuna muziki unapigwa basi Alikiba alianza kucheza muziki ule ikiwa ni siku saba tuu toka amezaliwa....
Basi toka hapo ndipo walipogundua Alikiba ana kipaji cha muziki.
Source:EATV
Wasalaam wana jamvi