Maajabu:Mama Alikiba asema Alikiba alianza kucheza muziki akiwa na siku saba

Huyo mama ni muongo alietukuka aiseeee.......[emoji47] [emoji47] [emoji47]
Huo uongo sio wa nchi hii.......[emoji12] [emoji12]
 
Hahahahaahahahaahaa hahahahaahhaahhaha . Wahenga waliosema eti kiki hutafutwa na wahusika ... wahenga ao ni wazaliwa wa dar hahahahahahaahha

Post sent using JamiiForums mobile app
hahahaha
 
haaaaaaa haaaaaaaa haya maajabu ya karne siku saba acheze sebene
 
Kuna wakati mwingine mtu lazima ufikiri cha kuongea. Hivi huyo mama anamjua mtoto wa siku saba alivyo? Mama Kanumba aliongea sana mwishowe alichokwa na vyombo vya habari. Mbona kina Baba huwa hawana kiherehere cha kuongea na vyombo vya habari?
 
Kuna haja ya kufundisha watu jinsi ya kujibu maswali kuliko kuwaacha wakijidhalilisha!
 
Kwahiyo Alikiba ndio kamfundisha Mama yake akamtafutie kiki ya kujizalilisha namna hii ...... Kiba mwambie huyo Mama'ako ajifunze jinsi ya kuongea na vyombo vya habari.
 
Kwahiyo Alikiba ndio kamfundisha Mama yake akamtafutie kiki ya kujizalilisha namna hii ...... Kiba mwambie huyo Mama'ako ajifunze jinsi ya kuongea na vyombo vya habari.
hahahahaha
 
Wahenga Walisema
"ukistaajabu Ya Musa Utaona Ya Firauni"
Ndo Haya Ya Kiba Duuh...
Ila Yohana The Baptist Alicheza
Tumboni Alipomwona Mary.
Pana Kaukweli Hapo...

-Tanzania Ya Vi-Wonder-
 
Kuna wakati mwingine mtu lazima ufikiri cha kuongea. Hivi huyo mama anamjua mtoto wa siku saba alivyo? Mama Kanumba aliongea sana mwishowe alichokwa na vyombo vya habari. Mbona kina Baba huwa hawana kiherehere cha kuongea na vyombo vya habari?
Wamemfuata wenyewe kumhoji hajajipeleka
 
Ingawa kishingo upandeeeeeee( kwasauti ya harmonize)
 
Kumbe ndio maana Kiba kiuno bila mfupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…