Maajabu: Maraisi wastaafu wa USA wanafungua maktaba wetu wataka kujengewa maikulu binafsi!

Maajabu: Maraisi wastaafu wa USA wanafungua maktaba wetu wataka kujengewa maikulu binafsi!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Maraisi wastaafu wa USA wanafungua maktaba tena kwa kuchangiwa wa watu.

Wapendwa wetu maraisi wazalendo eti wanataka kujengewa nyumba kama Ikulu na wenza wao kulipwa.

Hawajali hali ya wananchi, mabadiliko waliyofanya na historia wanayoacha zaidi ya matumbo yao.

Sijasikia wazo la maktaba za maraisi lakini kuwajengea maiikulu na kulipa wenza ! ndiyo tunayofikiria
 
Back
Top Bottom