YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Leo ndio mazishi ya Prince Philip wa Uingereza waweza angalia moja kwa moja tv ya SKYNEWS
Maandalizi yote ya msiba wake aliyaanda mwenyewe kabla kufa na ratiba aliindaa mwenyewe.
Katika maagizo aliyoagiza ni kuwa ni maruku padre kuhubiri mahubiri mahubiri kwenye msiba wake na kanisani. Mahubiri marufuku.
La pili kwaya itakuwa na wakwaya wanne tu na watakapokuwa wakiimba wahudhuriaji hawatakiwi kuimba nao nyimbo zao za kwaya .Wawaangalie tu wakiimba.
Askofu Mkuu kakubaliana na wosia wake akasema watafanya kama alivyousia mwenyewe.Sipati picha ingekuwa Tanzania ujipangie ibada yako iweje!
Pili ni marufuku kushusha bendera nusu mlingoti sababu ufalme ni kitu cha kuendelea na kinatakiwa kuwa juu siku zote hakuna siku utakuwa chini nusu mlingoti au chini mlingoti.
Waweza fuatilia live hapa.