Maajabu mazishi ya Prince Phillip: Mahubiri marufuku kanisani, marufuku kuimba nyimbo za kwaya na Marufuku bendera kuwa nusu mlingoti

Waswahili jamani kwa hiyo watu kuweka faragha zao ni washirikina,
Tofauti yako na mshirikina ni ipi?
Nasikia hata rais wenu aliyefariki tarehe 17-March-21 wakati anashushwa ndani ya kaburi huko chato walifanya siri fulani, sijui wakificha nini, hawakuonesha lakini pia umeme ulikatwa nchi nzima, hakuna mtu anajua aliingizwaje kaburini, tafsiri yake ni nini ??
 
Tafsiri yake ni Mind your business
 
Mkuu acha uongo umeme ulikuwepo. Watu tulikua laivu unataka kudanganya kama hatukuangalia tbc. Wakati wa kushusha tbc hawakuonyesha ila wazikaji na waombolezaji waliona na watu hasa viongizi walikua wengi eneo husika
 
Angekuwa ndio jiwe angesema azungushwe dunia nzima ni mikoa yake
 
Mkuu acha uongo umeme ulikuwepo. Watu tulikua laivu unataka kudanganya kama hatukuangalia tbc. Wakati wa kushusha tbc hawakuonyesha ila wazikaji na waombolezaji waliona na watu hasa viongizi walikua wengi eneo husika
Achana naye, hajitambui huyo.
 
Umeme ulikatwa nchi nzima?
 
Mkuu acha uongo umeme ulikuwepo. Watu tulikua laivu unataka kudanganya kama hatukuangalia tbc. Wakati wa kushusha tbc hawakuonyesha ila wazikaji na waombolezaji waliona na watu hasa viongizi walikua wengi eneo husika
Alizikwa amevaa ngozi lilikiwa lichawi na lisengwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…