Maajabu mengine ya Bodi ya Ligi kwa Yanga.

Hii ratiba umeitolea wapi nikajionee mwenyewe.

Pamoja na mapungufu ya hiyo bodi ni ngumu mno kuamini kama ni wazembe wa kiwango hicho.
 
Nawashauri mtafute mbinu nyingine ya kuomba huruma,ikibidi mjifunge vibwebwe mje kutulilia wanaume huku mtandaoni siyo kupoteza muda wenu kujitungia ratiba ili mpate cha kusema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuna bodi ya ligi bali genge la walamba miguu wa Msomali.
Jinsi bodi za ligi zinavyofanya kwa wenzetu ni tofauti mno na Tanzania. Bodi huwa kwa manufaa ya wanachama wake ambao ni timu za ligi kuu na daraja la kwanza. Hapa Tanzania, bodi ipo kulinda maslahi ya Tifuatifua.
 
Tatizo la kuchagua msomali TFF. Leonard Tenga arudi jamani kama inawezekana.
 
tayari TFF wameshakanusha hii taarifa, wamesema ni uzushi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…