Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Bodi inachaguliwaje? Wanajua KKK - Kusoma, Kuandika na Kuhesabu?
Sifa mojawapo ni lazima uwe Mkia.Hiyo Bodi inachaguliwaje? Wanajua KKK - Kusoma, Kuandika na Kuhesabu?
Mikia kila kitu mnateteaHii ratiba umeitolea wapi nikajionee mwenyewe.
Pamoja na mapungufu ya hiyo bodi ni ngumu mno kuamini kama ni wazembe wa kiwango hicho.
Hili ndiyo tatizo la wabongo!
Wengi wao wanatoka Mikia fc na mzee Rage alituambia hao jamaa ni mbumbumbu na hayo ndio ndio matokeo yake.Hiyo Bodi inachaguliwaje? Wanajua KKK - Kusoma, Kuandika na Kuhesabu?
2016 chini ya Malinzi mlikula sana favors, mbona mikia haikuongea?Wengi wao wanatoka Mikia fc na mzee Rage alituambia hao jamaa ni mbumbumbu na hayo ndio ndio matokeo yake.
Jibu lako lina uwalakini
Hili ndiyo tatizo la wabongo!
Hapo bado hujajibu chochote,weka credible source ya taarifa yako watu tujiridhishe!
Mambo ya mikia yanatoka wapi tena?
Tenga was a classy act.Tatizo la kuchagua msomali TFF. Leonard Tenga arudi jamani kama inawezekana.
Inafaa tuweke msukuma paleTatizo la kuchagua msomali TFF. Leonard Tenga arudi jamani kama inawezekana.
Hiyo ratiba umeitengeneza mwenyewe