Maajabu Mlima Hermon unaokaliwa na IDF Syria, Yesu Kristo akiwa na Petro, Yakobo na yohana aligeuka sura yake mbele yao na uso wake ukang'aa kama jua!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Maeneo ya mlima Hermon yametekwa na IDF kuanzia siku aliyekuwa Rais wa Syria Asad kupinduliwa

Yapo mengi kuhusu maajabu na umuhimu wa mlima Hermon kwa mujibu wa Biblia.

•Mtume Petro alikiri kwa kunywa chake kuwa na kutamka kuwa Yesu ndiye mwana wa Mungu aliye hai Mathayo 16:16

•Wakanaani walitumia mlima huo kujenga mahekalu ya kuabudu miungu yao ya baali

•Joshua aliwaongoza Wana Israel kupambana na Ogu mfalme wa Bashan. Kwenye vita hiyo mfalme Ogu na Jeshi lake waliangamizwa kabisa

•Kwa mujibu wa kitabu cha Henoko kwenye mlima Hermon ndiko wale malaika walinzi waliapa kuja duniani na kuwaingilia Binti za wanadamu

• Mlima mrefu kabisa kwenye eneo hili urefu futi 9,233 sawa na mita 815 juu ya usawa wa bahari.

•Mlima huu unajulikana pia kwa majina ya mlima wa barafu, mlima Sirion/ Senir na "the Grey-Haired Mountain"
.
 

Attachments

  • mount-hermon-covered-with-snow-israel-2G85D8C.jpg
    166.7 KB · Views: 4

Habari hizo kakudanganya nani ??

The book of Joshua:


"It seems safe to conclude that the book, at least in its early form, dates from the beginning of the monarchy. Some think that Samuel may have had a hand in shaping or compiling the materials of the book, but in fact we are unsure who the final author or editor was. (From the NIV Bible Commentary [1], page 286)"


Again, another book whom we don't know who in the world wrote it. Yet, Jews and Christians consider this nonsense as a Revelation from GOD Almighty.
 

The Gospel of Matthew:


"The unknown author, whom we shall continue to call Matthew for the sake of convenience, drew no only up the Gospel according to Mark but upon a large body of material (principally, sayings of Jesus) not found in Mk that corresponds, sometimes exactly, to material found also in the Gospel according to Luke. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1008)"


"As for the place where the gospel was composed, a plausible suggestion is that it was Antioch, the capital of the Roman province of Syria. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1009)"


So we clearly see, both the author or authors and the place of composition of the "Gospel of Matthew" are unknown.
 
Ushahidi wako ni commenntor mwingine?😃
Get matured
 
Hao wote wanaelezea hisia zao na minyukano ya maoni, shida iko wapi wengine wakielezea wajuacho? Watu wameandika based on researches na available evidence, wewe unataka kupinga kwa kutumia hisia za wengine.
Hii akili ya wapi?
 
Hao wote wanaelezea hisia zao na minyukano ya maoni, shida iko wapi wengine wakielezea wajuacho? Watu wameandika based on researches na available evidence, wewe unataka kupinga kwa kutumia hisia za wengine.
Hii akili ya wapi?

Walioandika with evidence na uchunguzi mmoja huyu hapa na kafika hizo sehemu tena na kuonyeshwa kwenye BBC


View: https://youtu.be/ot7o3XnwtP0
 
Walioandika with evidence na uchunguzi mmoja huyu hapa na kafika hizo sehemu tena na kuonyeshwa kwenye BBC


View: https://youtu.be/ot7o3XnwtP0
Hakuna uchunguzi wowote walioufanya hao. Bali walitumia ushahidi uliopo kuuanda story waitakayo kitu ambacho miaka ya karibuni ndiyo watu wamekuwa wakikifanya.
Ukiisikiliza kwa unbiased mind hutapata shida kujua hawa walichokuwa wakifanya ni kutaka tu kutengeneza chao ambacho ni against kile.
 
Kitu ambacho unapaswa kujua kwa mkristo asie limited mind na muislamu hizi mada waachie watu wa matukio hyo military ipo enz na enz itoke taarifa baada ya asad kuondoka na watu kupora means illiterate objectives through illegal means or attain objectives kama ww brain wash na Israel hutoelewa
 

Ulijuwaje na hujaangalia hiyo clip ??
 
Hapo kilele cha mlima Hermon ndo Azazel aliongoza fallen angels kwenda kuleta balaa zito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…