Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Maeneo ya mlima Hermon yametekwa na IDF kuanzia siku aliyekuwa Rais wa Syria Asad kupinduliwa
Yapo mengi kuhusu maajabu na umuhimu wa mlima Hermon kwa mujibu wa Biblia.
•Mtume Petro alikiri kwa kunywa chake kuwa na kutamka kuwa Yesu ndiye mwana wa Mungu aliye hai Mathayo 16:16
•Wakanaani walitumia mlima huo kujenga mahekalu ya kuabudu miungu yao ya baali
•Joshua aliwaongoza Wana Israel kupambana na Ogu mfalme wa Bashan. Kwenye vita hiyo mfalme Ogu na Jeshi lake waliangamizwa kabisa
•Kwa mujibu wa kitabu cha Henoko kwenye mlima Hermon ndiko wale malaika walinzi waliapa kuja duniani na kuwaingilia Binti za wanadamu
• Mlima mrefu kabisa kwenye eneo hili urefu futi 9,233 sawa na mita 815 juu ya usawa wa bahari.
•Mlima huu unajulikana pia kwa majina ya mlima wa barafu, mlima Sirion/ Senir na "the Grey-Haired Mountain"
.