Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Mavi yake huyo asitegemea huyo aliye pindua Syria watamuacha hai kama hakomboi ardhi ya Syria.Ni eneo la Israeli kuanzia sasa. Kamanda Netanyahu ametangaza rasmi
Kuna maneno yalosemwa hapo kuwa
"👉 Huyu ndiye mwanangu na mpendwa wangu msikieni yeye"
Swali ni nani aliyatamka?
Kwanini wengine wanapinga kuwa Yesu si mwana wa Mungu kama Mungu aliyatamka hayo maneno?
Biblia inachanganya sanaBiblia inasema kwamba:
1. Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu. (Kutoka 4:22).
2. Daudi ni mwana wa Mungu, yeye pia ni mwana wa kwanza. (Zaburi 89: 26-27).
3. ....maana mimi ni baba wa Israeli na Efraim (Ibrahim) ni mzaliwa wa kwanza wangu. (Yeremia 31:9).
Hawa wana wa Mungu wote, kila mmoja wao ni mzaliwa wa kwanza kwa Mungu. Kwanza itakuwaje watoto wote
watatu wawe wazaliwa wa kwanza kwa Mungu. Pili kwa nini hawa wazaliwa wa kwanza wasiitwe miungu?
Na kama hawa watatu wakubwa hawawezi kuwa miungu wala hawaabudiwi, basi mtoto mdogo Yesu pia hana haki yoyote ya kuitwa Mungu wala hana haki ya kuabudiwa.
4. Suleimani ni Mwana wa Mungu. (Mambo ya Nyakati 22:9-10).
5. Wapatanishao wameitwa Wana wa Mungu. (Mathayo 5:9). Oo! siyo tu bali katika Biblia baadhi ya watu wameitwa miungu. Tena hakuna Mkristo ambaye anawaita miungu wala hawaabudiwi.
Kama Biblia inavyosema kwamba:
A. Yesu akawajibu, Je! haikuandikwa katika Torati yenu ya kwamba, mimi nimesema, ndinyi miungu? (Yohana 10:34).
B. Bwana akamwambia Musa angalia, nimekufanya wewe kuwa kama mungu kwa Farao na huyo ndugu yako Harun atakuwa Nabii wako. (Kutoka 7:1).
Acha upumbavu wewe kenge, hizo editing nimeshakwambia hazinisumbui akili.Hujaaangalia chochote otherwise usingalikuja na jeuri yako angalia hii clip please usilete ubishi wa kipumbavu
View: https://youtu.be/ot7o3XnwtP0
Acha upumbavu wewe kenge, hizo editing nimeshakwambia hazinisumbui akili.
Hicho kilichoongelewa humo hakipo kwenye records zozote zaidi ya hicho ki clip chako.
Unapoambiwa kitu uwe unaelewa. Yaani unataka wote wawe na akili za Kipumbavu kama zako kuamini kila upuuzi.
KIlichoongelewa na Patrich ni hiki hapa, siyo huo upuuzi wako kenge wewe.
Israeli inaitwa mzaliwa wa kwanza wa Mungu ili kuonyesha kwamba taif hili lina uusiano wa pekee na Mungu, kuliko mataifa mengine. Mungu alichagua Israeli kupitia agano na Abraham, Isaka, na Yakobo, na akalihifadhi kwa ajili ya kuwa mfano wa mataifa mengine (Kumbukumbu la Torati 7:6).Biblia inasema kwamba:
1. Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu. (Kutoka 4:22).
Umeleta andiko kutoka kitabu cha Zaburi, Daudi anatajwa kama mzaliwa wa kwanza, hata ingawa hakua mzaliwa wa kwanza katika familia yake. Hii ni kwa sababu Mungu alimchagua kuwa mfalme wa pekee na sehemu ya agano lake la milele. Neno mzaliwa wa kwanza hapa linaashiria cheo cha juu na ukuu wa kiroho. Sijui hata unaelewa naongela nini?2. Daudi ni mwana wa Mungu, yeye pia ni mwana wa kwanza. (Zaburi 89: 26-27).
Efraimu ni mtoto wa pili wa Yosefu, lakini Mungu alimwinua juu ya ndugu yake Manase (Mwanzo 48:19-20). Katika Yeremia 31:9, Efraimu anawakilisha Israeli ya kaskazini ambayo Mungu anairejesha kwa upendo na huruma kama mzaliwa wa kwanza:3. ....maana mimi ni baba wa Israeli na Efraim (Ibrahim) ni mzaliwa wa kwanza wangu. (Yeremia 31:9).
Biblia imekushinda kuisoma na kuielewa. Hata AI nayo imekushinda. Hivi hizo akili za wapi? Unaokota tu vitu kutoka kwenye AI na kuvileta huku pasipo kushirikisha akili zako.Hizo lugha za kutukana watu ndio lugha ya huyo mliyempa uungu kama biblia ilivyoandika, sikushangai
Kila mti hutambulika kwa matunda yake (Luka 6:44) na vile vile mtu anatambulika kwa ulimi na lugha yake kwamba anazo tabia za aina gani?
Maana lugha ya mtu inaonesha masomo yake, tabia na khulka yake.
Katika kitabu hiki tunampima Bwana Yesu Kristo sawa na maandiko ya Biblia.
Bila ya kupoteza muda , ningependa kuwaletea baadhi ya maneno na lugha ya Bwana Yesu aliyotumia katika uhai wake.
1. Wasioamini (wasio Waisraeli) wameitwa mbwa na nguruwe. (Mathayo 7:6).
2. Aliwaita watu wabaya: ”Enyi wazao wa nyoka” (Mathayo 12:34).
3. Mayahudi waliitwa: “Kizazi cha zinaa.” (Mathayo 12:40,, 16:4).
4. Mayahudi waliitwa “Wazinifu na wakosefu.” (Marko 8:38).
5. “Ole wenu waandishi na wafarisayo, wanafiki,” (Mathayo 23:16).
6. “Ole wenu viongozi vipofu.” (Mathayo 23:16).
7. “Enyi nyoka, wana wa majoka” (Mathayo 23:33).
8. “Watu wengine waliitwa mbwa.” (Mathayo 15:27).
9. Aliwaita manabii wenzake: “wote walionitangulia ni wevi na wanyang'anyi.” (Yohana 10:8).
10. Aliwaita wanafunzi wake: ”Enyi kizazi kisicho amini, kilichopotoka.” (Mathayo 17:17).
11. Akamwambia Petro “Nenda nyuma yangu Shetani.” (Mathayo 16:23).
Unaleta mambo ya magazeti mimi nimekuwekea clip kutoka mdomoni mwa farasi mwenyewe , usikasirike bure hata biblia yako yesu hakusulubiwa au nikuwekee mistari ??
kwanza endelea kumsikiliza Armenian patrich akiongea na Professor Robert beckford ndani ya hii clip
View: https://youtu.be/ot7o3XnwtP0
Wewe kamtu una shida sana. Unasoma Biblia pasipokuwa hata knowledge kuisoma. Unadhani ni chats za whatsapp hizo?
Dhana ya "mzaliwa wa kwanza" haimaanishi mtu moja tu kwa kila wakatu, bali ni nafasi au cheo kinachotumika kuonyesha uhusiano wa kipeke wa mtu au kundi fulani na Mungu.
Israeli inaitwa mzaliwa wa kwanza wa Mungu ili kuonyesha kwamba taif hili lina uusiano wa pekee na Mungu, kuliko mataifa mengine. Mungu alichagua Israeli kupitia agano na Abraham, Isaka, na Yakobo, na akalihifadhi kwa ajili ya kuwa mfano wa mataifa mengine (Kumbukumbu la Torati 7:6).
Israeli mzaliwa wa kwanza, hapa inahusu hadhi ya kipekee ya taifa lote, si mtu mmoja. Pumbavu
Umeleta andiko kutoka kitabu cha Zaburi, Daudi anatajwa kama mzaliwa wa kwanza, hata ingawa hakua mzaliwa wa kwanza katika familia yake. Hii ni kwa sababu Mungu alimchagua kuwa mfalme wa pekee na sehemu ya agano lake la milele. Neno mzaliwa wa kwanza hapa linaashiria cheo cha juu na ukuu wa kiroho. Sijui hata unaelewa naongela nini?
Yesu pia anaitwa "mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote" (Wakolosai 1:15), akionyesha ukuu wake juu ya ulimwengu wote.
Guluguja wewe.
Efraimu ni mtoto wa pili wa Yosefu, lakini Mungu alimwinua juu ya ndugu yake Manase (Mwanzo 48:19-20). Katika Yeremia 31:9, Efraimu anawakilisha Israeli ya kaskazini ambayo Mungu anairejesha kwa upendo na huruma kama mzaliwa wa kwanza:
"Mzaliwa wa kwanza" hapa si nafasi ya kuzaliwa kimwili bali ni ishara ya upendeleo wa Mungu kwao na ahadi zake za kuwarudisha kutoka uhamishoni.
Biblia haisomwi uisomavyo wewe, kabla ya kuisoma, kwanza omba Roho Mtakatifu akakuangazia na kukufungulia yalr yaliyoandikwa.
Mgoja nikuache na matongotongo yako hayo yaliyoziba macho na akili zako hadi ufahamu wako.
Kafi ka ndope.
FaanaBiblia imekushinda kuisoma na kuielewa. Hata AI nayo imekushinda. Hivi hizo akili za wapi? Unaokota tu vitu kutoka kwenye AI na kuvileta huku pasipo kushirikisha akili zako.
Achana Chatgpt, kwani hiyo hata jinsi kui prompt haujui na matokeo yake unadharirika tu hapa.Katika Injili nne ziliomo katika Biblia Yesu Kristo ametajwa mara kadhaa wa kadhaa kwa jina la "Mwana wa Mungu". Ifuatayo ni baadhi ya mifano yake:
Basi yule akida, aliyesimama hapo akimwelekea, alipoona ya kuwa alikata roho jinsi hii, akasema, Hakika mtu huyu alikuwa Mwana wa Mungu.
Marko 15.39
Huyo akida anayetajwa hapo juu ni mpagani wa Kirumi mwenye kuamini wanaadamu wanakuwa miungu, hata mfalme wao wakimwita kuwa ni mungu na mwana wa mungu.
Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.
Luka 1.35
Wakasema wote, Basi, wewe ndiwe Mwana wa Mungu? Akawaambia, Ninyi mwasema kwamba mimi ndiye.
Luka 22.70
Amemtegemea Mungu; na amwokoe sasa, kama anamtaka; kwa maana alisema, Mimi ni Mwana wa Mungu.
Mathayo 27.43
Na pepo wachafu, kila walipmwona, walianguka mbele yake, wakalia wakisema, Wewe ndiwe Mwana wa Mungu. Akawakataza sana, wasimdhihirishe.
Marko 3.11-12
Naye alipofika ng'ambo, katika nchi ya Wagerasi, watu wawili wenye pepo walikutana naye, wanatoka makaburini, wakali mno, hata mtu asiweze kupitia njia ile. Na tazama, wakapiga kelele, wakisema, Tuna nini nawe, Mwana wa Mungu? Je! umekuja kututesa kabla ya muhula wetu?
Mathayo 8.28-29
Katika Injili za Mathayo, Marko na Luka, Yesu ameitwa mara 22 kwa jina la "Mwana wa Mungu", lakini hata mara moja yeye mwenyewe hakujiita kwa jina hilo.
Katika Mathayo 27.43 niliyonukuu hapo juu yanatajwa maneno ya wakuu wa makuhani wa Kiyahudi pamoja na waandishi na wazee waliokuwa wakimdhihaki, si maneno yake yeye Yesu.
Hao walikuwa wakimzulia kuwa anadai uwana wa Mungu, na anadai kuwa ni Mfalme wa Israeli.
Mara nyingi waliokuwa wakimwita Mwana wa Mungu walikuwa ama wendawazimu, wenye pepo wachafu, au askari wa Kirumi ambao tokea hapo wao ni washirikina, mapagani.
Ama mwenyewe Yesu alikuwa daima akipendelea kujiita mwana wa Adamu kwa Kiebrani, lugha yake, Bin Adam, yaani ni binaadamu, mtu tu .
Achana Chatgpt, kwani hiyo hata jinsi kui prompt haujui na matokeo yake unadharirika tu hapa.
Ukiulizwa kati ya hayo uliyoya copy na ku paste hhapa msimamo na uelewa wako ni upi utabaki unakodoa na kurembua macho tu huku ukijiuma lips.
Mwamba unavyokomaa na haka ka clip utafikiri basi kana madini au hoja nzito za maana kama wanazoshusha wadau humuHujaaangalia chochote otherwise usingalikuja na jeuri yako angalia hii clip please usilete ubishi wa kipumbavu
View: https://youtu.be/ot7o3XnwtP0
Mwamba unavyokomaa na haka ka clip utafikiri basi kana madini au hoja nzito za maana kama wanazoshusha wadau humu
Achana Chatgpt, kwani hiyo hata jinsi kui prompt haujui na matokeo yake unadharirika tu hapa.
Ukiulizwa kati ya hayo uliyoya copy na ku paste hhapa msimamo na uelewa wako ni upi utabaki unakodoa na kurembua macho tu huku ukijiuma lips.
Anadhani wewe Imani yako kama kamba akutikise kwa hizo video za kijingaUnadhani hiyo clip wewe mi wa kwanza kuiangalia? Nimeshaiangalia hiyo na nyingine nyingi na zaidi nikafiatiloa jadi hao waandaaji
kwani imani yako wewe ni kama kitu gani ? Hivi unaweza kuniambia unatumia biblia ipi kanisani kwenu ?? usione aibuAnadhani wewe Imani yako kama kamba akutikise kwa hizo video za kijinga
Mimi nakuliza swali moja tu wapi kwebye bibilia zenu zinasema Israel ni taifa? Pili we unaonyesha hata hujui nini Israel toka lini Israel kwa Mungu lilikuwa taifa? We bibilia ipi unayo soma tofauti na wenzako. Hakuna kwenye bibilia neno taifa linaitwa Israel ukiweza niletee hapa dalili.Israeli inaitwa mzaliwa wa kwanza wa Mungu ili kuonyesha kwamba taif hili lina uusiano wa pekee na Mungu, kuliko mataifa mengine. Mungu alichagua Israeli kupitia agano na Abraham, Isaka, na Yakobo, na akalihifadhi kwa ajili ya kuwa mfano wa mataifa mengine (Kumbukumbu la Torati 7:6).
Israeli mzaliwa wa kwanza, hapa inahusu hadhi ya kipekee ya taifa lote, si mtu mmoja. Pumbavu
Huna ufahamu wa kiakili wa kuweza kuelewa lile jibu nitakalokupa, sababu swali lako tu limeonyesha dhahirisha hilo.Mimi nakuliza swali moja tu wapi kwebye bibilia zenu zinasema Israel ni taifa? Pili we unaonyesha hata hujui nini Israel toka lini Israel kwa Mungu lilikuwa taifa? We bibilia ipi unayo soma tofauti na wenzako. Hakuna kwenye bibilia neno taifa linaitwa Israel ukiweza niletee hapa dalili.