Hizo lugha za kutukana watu ndio lugha ya huyo mliyempa uungu kama biblia ilivyoandika, sikushangai
Kila mti hutambulika kwa matunda yake (Luka 6:44) na vile vile mtu anatambulika kwa ulimi na lugha yake kwamba anazo tabia za aina gani?
Maana lugha ya mtu inaonesha masomo yake, tabia na khulka yake.
Katika kitabu hiki tunampima Bwana Yesu Kristo sawa na maandiko ya Biblia.
Bila ya kupoteza muda , ningependa kuwaletea baadhi ya maneno na lugha ya Bwana Yesu aliyotumia katika uhai wake.
1. Wasioamini (wasio Waisraeli) wameitwa mbwa na nguruwe. (Mathayo 7:6).
2. Aliwaita watu wabaya: ”Enyi wazao wa nyoka” (Mathayo 12:34).
3. Mayahudi waliitwa: “Kizazi cha zinaa.” (Mathayo 12:40,, 16:4).
4. Mayahudi waliitwa “Wazinifu na wakosefu.” (Marko 8:38).
5. “Ole wenu waandishi na wafarisayo, wanafiki,” (Mathayo 23:16).
6. “Ole wenu viongozi vipofu.” (Mathayo 23:16).
7. “Enyi nyoka, wana wa majoka” (Mathayo 23:33).
8. “Watu wengine waliitwa mbwa.” (Mathayo 15:27).
9. Aliwaita manabii wenzake: “wote walionitangulia ni wevi na wanyang'anyi.” (Yohana 10:8).
10. Aliwaita wanafunzi wake: ”Enyi kizazi kisicho amini, kilichopotoka.” (Mathayo 17:17).
11. Akamwambia Petro “Nenda nyuma yangu Shetani.” (Mathayo 16:23).
Unaleta mambo ya magazeti mimi nimekuwekea clip kutoka mdomoni mwa farasi mwenyewe , usikasirike bure hata biblia yako yesu hakusulubiwa au nikuwekee mistari ??
kwanza endelea kumsikiliza Armenian patrich akiongea na Professor Robert beckford ndani ya hii clip
View: https://youtu.be/ot7o3XnwtP0