"maajabu" mwenye division 4 point 26 amepata post ya form five.

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
594
Reaction score
291
Habari wakuu!!
nina rafiki yangu niliyemaliza nae kidato cha nne, baada ya post kutoka nae kachaguliwa shule ya kigonsela high school na ana div 4 ya 26 na mimi nimechaguliwa J.J.Mungai high school, sasa hawa necta walikosea au walidhamiria? maana wapo wengi wenye 4 za 26
 
Mwache tu aende, ufaulu wenyewe ndio hivyo tenam tutafanyaje!
 
Bila kufanya hivyo baadhi ya shule zisingepata wanafunzi wa form V, kwahiyo credit mbili na D kadhaa wamechaguliwa..!!
 
Ufaulu umeongeznka ukilinganisha na mwaka jana
 
Ngoja na mi nikaangalie maana mi nina c ya bio na chem
 
Hamna tabu kwani watakapofika kidato cha sita serikali itaanzisha big result now kwa watahiniwa kama ilivyo sasa kwa kidato cha nne 2013.
 
Kama kweli hebu angalieni hii S.3636/0063..
 

Mbona mtu kaenda PCM na masomo ya arts tupu! tena toka Marian !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ana C mbili tu, ya civics na English

Kama ana C mbili kutakua na tatizo kwa kuwa minimum requirement ili uweze kufanya mtihani wa A-level ni C tatu anatakiwa aconfirm na wizara kwanza otherwise anaweza poteza muda wake
 
Kama ana C mbili kutakua na tatizo kwa kuwa minimum requirement ili uweze kufanya mtihani wa A-level ni C tatu anatakiwa aconfirm na wizara kwanza otherwise anaweza poteza muda wake

that trueee!
 
ana C mbili tu, ya civics na English
Sijasikia kuwa NECTA wameshusha viwango vya kufanya mtihani wa form six. Je umeshuhudia kwa macho yako kuwa ana C mbili tu na amechaguliwa kwenda form five au ni yeye aliyekueleza? Nauliza hiyvo kwa sababu sifa ya kuchaguliwa kwenda form five ya serikali ni lazima uwe na C tatu na kuendelea. Sasa kama rafiki yako kapata kwa C mbili basi kuna makosa somewhere. Ni heri afuatilie apate uhakika vinginevyo atakwama huko mbele, hatafanya mtihani wa form six.
 

bc nnaomba msada wa kuangalziwa na mm coz nna c ya ph na chem s2631/168 muklma sec
 
Nina uhakika mkuu ana C mbili tu, ndo maana nikaamua kuileta hii thread ili nijue kama necta wanachukua hadi dv 4 point 26 au la, ila mimi ninachoona labda kuna tatizo wamelifanya necta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…