Maajabu niliyoyafanya kwenye nyumba Madale

Maajabu niliyoyafanya kwenye nyumba Madale

Mbona hanam ndefu, imegeuzwa kanisa?

Kati ya huo ukuta wa kibaraza na ule wa sebule unatenganishwa na nini? Naona kama mmemwingiza cha kike mwenzenu kwani vibaka watatoboa ceiling board au gypsum board na kuzama ndani
Mimi sielewagi hii style, myumba nyingi huku wamejenga hivyo.. na mabati/mbao zinaenda
 
Ninao ujenzi wa mabanda ya mifugo, bati used nitapata mkuu?
 
Kwanini umeweka picha ya nyumba yangu mtandaoni? Mbona hukuomba ruhusa? Hii haikubaliki kabisa, lazima ukanyee debe [emoji51]
Ha ha ha boss mbona nyumba hata hauna hii umeifananisha
 
kuchamba kwingi kuondoka na mavi, hapo kwenye kibaraza mwizi anango'a board huyo mpaka ndani
 
Back
Top Bottom