Kumbe hata wewe umeliona hilo mkuu,yani wao ndio wanaiharibu kabsa,sijui nani kawaambia kupandisha paa juu namna hiyo ndio kisasa zaidi?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mimi sielewagi hii style, myumba nyingi huku wamejenga hivyo.. na mabati/mbao zinaendaMbona hanam ndefu, imegeuzwa kanisa?
Kati ya huo ukuta wa kibaraza na ule wa sebule unatenganishwa na nini? Naona kama mmemwingiza cha kike mwenzenu kwani vibaka watatoboa ceiling board au gypsum board na kuzama ndani
Kwanini umeweka picha ya nyumba yangu mtandaoni? Mbona hukuomba ruhusa? Hii haikubaliki kabisa, lazima ukanyee debe [emoji51]Ilikuwa hv
View attachment 2489840
Kiukweli walokole wengi hata ukimkopa halipi. Naweza kukupa hata Namba zao uwapigie wambie wanachafua taswira ya wokovu.Huo mtazamo binafsi
Ni tabia binafsi bossKiukweli walokole wengi hata ukimkopa halipi. Naweza kukupa hata Namba zao uwapigie wambie wanachafua taswira ya wokovu.
Sent using Jamii Forums mobile app