Maajabu: Nimekutana na kiumbe cha ajabu sana pale mikumi darajani mchana huu

Wakuu,

Nimepita mikumi muda si mrefu naelekea kikazi mbeya, ila pale mikumi tumekutana na kiumbe cha ajabu, ni mfano wa ngedere lakini ana mapembe 7, ana meno 7, ana miguu 7, cha ajabu alipotuona alitoa mlio mkubwa kama radi mara 7. lilikua ni tukio la kuogofya sana.
Nafikiri Hata wewe umehongwa ten milioni
 
Wakuu,

Nimepita mikumi muda si mrefu naelekea kikazi mbeya, ila pale mikumi tumekutana na kiumbe cha ajabu, ni mfano wa ngedere lakini ana mapembe 7, ana meno 7, ana miguu 7, cha ajabu alipotuona alitoa mlio mkubwa kama radi mara 7. lilikua ni tukio la kuogofya sana.
Stori za mikumi daima hupati hata kafoto kweli, mpk meno idadi yake ukajua, ilikuwa face to face na we upo kwa gari sijui
 
Bila shaka Ilikuwa mida ya saa 7 na dakika 7 na sekunde 7 kwenye saa ya buku 7 uliyoinunua 7 saba kwenye banda la 7 kwenye mahonyesho ya siku ya 7 mchana wa saa 7.
 
Back
Top Bottom