MAAJABU: Nyama kutoiva baada ya kuchemshwa masaa 4.45

Nakumbuka Kuna story nlikuwa naisikiliza RFA kwenye kile kipindi Cha sito sahau,kunajamaa walikuwa wanajenga huko gambushi sa kuna siku walikuwa wakipika nyama ikawa haiivi inawezekana mkuu Upo pande hzo πŸ˜€.
 
Nashukurj ile nyama sikuila niliitupa kwenye kidastibini changu nje. Leo naenda kuicheki yaani hata haijaoza iko vile vile..kibaya zaidi kuna paka wengi sana maeneo haa sijaona hata paka wakifungua dastibini kuila....Dah[emoji24]
Ushauziwa mbwaa kama sio pakaaa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Reactions: amu
Nashukurj ile nyama sikuila niliitupa kwenye kidastibini changu nje. Leo naenda kuicheki yaani hata haijaoza iko vile vile..kibaya zaidi kuna paka wengi sana maeneo haa sijaona hata paka wakifungua dastibini kuila....Dah[emoji24]
Tupe updates kesho tena asubuhi.
 
Binafsi naogopa hasa mie mpenda kula kula nyama nikiwa safarini.
Huwa naona safe kula nyama choma kuliko kuna mavyakula mengine.
 
Labda unapika maharage katika ulimwengu wa koroho.
 
Nyama ya ng'ombe kuanzia lisaa limoja tu unaweza kula supu!! Nyama ya "NGUBI" aka Chairfire nusu saa unatafuna vizuri tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…