Mpira hauweki ugali mezani kwako na hata mbinguni hautufikishi labda jehanamuMUUNGANO CUP: Nusu fainali Kombe la Muungano Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ wakati AzamFC kumenyana na KMKM
Michezo hii kuruka mbashara kupitia #AzamSports1HD
Je, ni timu gani kutinga fainali?
#MuunganoCup #KVZSimba #AzamFCKMKM
Nb: Simba ni timu pekee duniani ....imeingia semi final bila kucheza mechi yeyote View attachment 2972078
Simba wanatafutiwa kombe lolote la kuweka kabatini. Wasipokaa vizuri, KMKM itawapokonya hata hilo.MUUNGANO CUP: Nusu fainali Kombe la Muungano Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ wakati AzamFC kumenyana na KMKM
Michezo hii kuruka mbashara kupitia #AzamSports1HD
Je, ni timu gani kutinga fainali?
#MuunganoCup #KVZSimba #AzamFCKMKM
Nb: Simba ni timu pekee duniani ....imeingia semi final bila kucheza mechi yeyote.
View attachment 2972078
Ni uzalendo mkuuYanga wametumia busara na ujasiri kupinga kutumika kwa political mileage
Maana wanasiasa wao hukaa na kutoa maagizo pasi na kujua Wala kujali hisia za mashabiki au mikataba ambayo wachezaji wameingia na team zao
Simba na Yanga kwa heshima Yao wanapaswa kushiriki
1.Cafcl
2.Cafcc
3.Caf super league
4.Nbc premier league
5.Crdb FA cup
6.Ngao ya hisani
Basi hayo makombe mengine sijui muungano na mapinduzi wayakatae kabisa hayana maana Wala hadhi kwao zaidi ya wanasiasa
Wao viongozi sio wazalendo kama wangekuwa wazalendo mashindano kama haya wangetoa kwa local teams kama zile za ndondo cup angalau team ikishinda 180 ml inaweza kujiboresha zaidiNi uzalendo mkuu
Hazina mashabikiWao viongozi sio wazalendo kama wangekuwa wazalendo mashindano kama haya wangetoa kwa local teams kama zile za ndondo cup angalau team ikishinda 180 ml inaweza kujiboresha zaidi
Hizi giants ziachwe zipiganie mambo makubwa zaidi
Nimesema tuUshauri wako nin mkuu