Maajabu: Simba yaingia nusu fainali kibabe Kombe la Muungano

Maajabu: Simba yaingia nusu fainali kibabe Kombe la Muungano

MUUNGANO CUP: Nusu fainali Kombe la Muungano Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ wakati AzamFC kumenyana na KMKM

Michezo hii kuruka mbashara kupitia #AzamSports1HD
Je, ni timu gani kutinga fainali?
#MuunganoCup #KVZSimba #AzamFCKMKM

Nb: Simba ni timu pekee duniani ....imeingia semi final bila kucheza mechi yeyote.
View attachment 2972078
Huu ni mtego wamewekewa Simba wakutane na Azam.
 
MUUNGANO CUP: Nusu fainali Kombe la Muungano Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ wakati AzamFC kumenyana na KMKM

Michezo hii kuruka mbashara kupitia #AzamSports1HD
Je, ni timu gani kutinga fainali?
#MuunganoCup #KVZSimba #AzamFCKMKM

Nb: Simba ni timu pekee duniani ....imeingia semi final bila kucheza mechi yeyote.
View attachment 2972078
Mbona unasema khs simba tuu ila hao wengine husemi, tuanzie hapo.
 
Sawa, Lunyasi hawana baya, ila uwasiliane kwanza na utopolo kama nao watashiriki au watasema wamechoka
FB_IMG_1713852650651.jpg

Tajiri hana baya. Atakubali tu mchezo Nguruwe CUP ili angalau muambulie kitu.
 
Back
Top Bottom