Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Sawa, Lunyasi hawana baya, ila uwasiliane kwanza na utopolo kama nao watashiriki au watasema wamechokaNinataka kuanzisha komne la Nguruwe. Nawakaribisha sana wana Lunyasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, Lunyasi hawana baya, ila uwasiliane kwanza na utopolo kama nao watashiriki au watasema wamechokaNinataka kuanzisha komne la Nguruwe. Nawakaribisha sana wana Lunyasi.
[emoji23][emoji23] wamepagawaMuungano union [emoji23][emoji23] mbumbumbu ni kipajiView attachment 2972577
Huu ni mtego wamewekewa Simba wakutane na Azam.MUUNGANO CUP: Nusu fainali Kombe la Muungano Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ wakati AzamFC kumenyana na KMKM
Michezo hii kuruka mbashara kupitia #AzamSports1HD
Je, ni timu gani kutinga fainali?
#MuunganoCup #KVZSimba #AzamFCKMKM
Nb: Simba ni timu pekee duniani ....imeingia semi final bila kucheza mechi yeyote.
View attachment 2972078
Mbona unasema khs simba tuu ila hao wengine husemi, tuanzie hapo.MUUNGANO CUP: Nusu fainali Kombe la Muungano Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ wakati AzamFC kumenyana na KMKM
Michezo hii kuruka mbashara kupitia #AzamSports1HD
Je, ni timu gani kutinga fainali?
#MuunganoCup #KVZSimba #AzamFCKMKM
Nb: Simba ni timu pekee duniani ....imeingia semi final bila kucheza mechi yeyote.
View attachment 2972078
AiseeHao wengine ni watoto mkuu
Sawa, Lunyasi hawana baya, ila uwasiliane kwanza na utopolo kama nao watashiriki au watasema wamechoka
[emoji23][emoji23]View attachment 2972672
Tajiri hana baya. Atakubali tu mchezo Nguruwe CUP ili angalau muambulie kitu.