BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Mleta mada unatuaibisha wana simba ...hizo mechi ni za urojo urojo tu sisi level yetu ni kubwa sana aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
timu 4 kama EPL ndo zngekua zinashiriki michuano y kimataifa hi ligi ye2 ingechezwa kama muvi ,kuna part 1 n two..
Sent using Jamii Forums mobile app
Heeeeee tatizo majeruhiMleta mada unatuaibisha wana simba ...hizo mechi ni za urojo urojo tu sisi level yetu ni kubwa sana aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
tulikuwa tunatafuta point za kuwabeba mkashiriki kimataifa na nyinyi mapimbi wa jangwani,mbona hamna shukrani haaaaaaaaaaaEmbu liache taifa kwanza, mlivyokuwa mnapumzika mlidhani mtacheza vipi hizi match?
Yaani tuishukuru simba kwa kipi haswa mkuu!! Team bovu lile nawashangaaga mnavyojitapa kikosi kipana kikosi kipana , hahaaaa wazee wa hamsaaatulikuwa tunatafuta point za kuwabeba mkashiriki kimataifa na nyinyi mapimbi wa jangwani,mbona hamna shukrani haaaaaaaaaaa
Simba na Liverpool nani anacheza ligi nyingi na mechi nyingi?Jew liverpool ana viporo vya mechi 9 kwenye EPL?Mleta mada unatuaibisha wana simba ...hizo mechi ni za urojo urojo tu sisi level yetu ni kubwa sana aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ndani ya siku 17TFF walipanga ratiba huku wamekariri uwakirishi was Simba Kama wa Vyura ambao huwa wanatolewa mapema,ukitaka kuona kwamba mfalme wa kuwakolirisha Taifa karudi ambae kasababisha Hadi Timu kuongezeka utaona ratiba ya mwakani watakavyoipanga na kujua kabisa Mnyama atakwamia wiki mbili za mwisho za kalenda ya CAF.
Sent using Jamii Forums mobile app
Viporo vya tajiri havichachi,pili simba lina kikosi kipana,tatu simba inaweza panda ndege kuvizingira hivyo viporo.chezeni hizo mechi.Ratiba ya vipora ya Simba ligi kuu imetoka na kuonyesha maajabu ya Soka kwa kulazimisha kucheza mechi 7 ndani ya siku 15 huku akilazimika kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingi ndani ya siku 2.
Ratiba ya hivi haijawahi kutokea Duniani kukote.
Hata Kama TFF wanataka kuvimaliza ligi ndani ya Muda lakini naona hii Ni mateso kwa wachezaji
Jionee mwenyewe
View attachment 1072235
Sent using Jamii Forums mobile app
Mavi yenu...si mlikuwa mnaomba mechi zenu zisogezwe mbele ili mtafute ujiko? Mbele ndio hapo sasa.
Ratiba ya vipora ya Simba ligi kuu imetoka na kuonyesha maajabu ya Soka kwa kulazimisha kucheza mechi 7 ndani ya siku 15 huku akilazimika kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingi ndani ya siku 2.
Ratiba ya hivi haijawahi kutokea Duniani kukote.
Hata Kama TFF wanataka kuvimaliza ligi ndani ya Muda lakini naona hii Ni mateso kwa wachezaji
Jionee mwenyewe
View attachment 1072235
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Lol