Maajabu: Simba yapangiwa kucheza mechi 7 ndani ya siku 15

Embu liache taifa kwanza, mlivyokuwa mnapumzika mlidhani mtacheza vipi hizi match?
tulikuwa tunatafuta point za kuwabeba mkashiriki kimataifa na nyinyi mapimbi wa jangwani,mbona hamna shukrani haaaaaaaaaaa
 
Yanga baba Lao hata Azam TV wanajuwa.. YANGA vs Mtibwa Azam sports 2..Mikia vs Coastal Azam HD
 
TFF walipanga ratiba huku wamekariri uwakirishi was Simba Kama wa Vyura ambao huwa wanatolewa mapema,ukitaka kuona kwamba mfalme wa kuwakolirisha Taifa karudi ambae kasababisha Hadi Timu kuongezeka utaona ratiba ya mwakani watakavyoipanga na kujua kabisa Mnyama atakwamia wiki mbili za mwisho za kalenda ya CAF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ndani ya siku 17
 
Viporo vya tajiri havichachi,pili simba lina kikosi kipana,tatu simba inaweza panda ndege kuvizingira hivyo viporo.chezeni hizo mechi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo Ni mateso kwa wachezaji
Nyie omba omba tulieni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mavi yenu...si mlikuwa mnaomba mechi zenu zisogezwe mbele ili mtafute ujiko? Mbele ndio hapo sasa.

Tuliposema mnarundikiwa viporo, majibu ya kiujuaji yaliuliza sheria namba ngapi imevunjwa kwa mabingwa wa Afrika watarajiwa kupewa mapumziko, sasa njooni na sheria iliyovunjwa kwa kupewa mechi zenu mcheze.

Ndio shida ya umbumbumbu. Yaani mlikaa mkadhani ligi itasogezwa mbele kwa kuwa tuliwatuma mkachanjwe EBOLA...mafiii!
 
Walikuwa na uwezo wa kucheza mechi moja ya TPL kati ya mechi mbili za CAF kwenye gap ya week moja.
Matokeo ya kupuuza hilo tunayaona sasa.
 
Tatizo la watanzania hatujui kuwatia moyo wachezaji zaidi ya kuwakatisha tamaa kabla ya mechi.

Hapa nilitegemea Kocha na Msemaji wa Simba ajitokeze na kusema kuwa timu yao ni bora kabisa na INA wachezaji bora wenye uwezo na ambao wako tayari kucheza mpira muda wowote.
Walipaswa kuwaanda wachezaji kisaikolojia. Ile ni kazi sio huduma.
Kulalamika lalamika kwa Mambo ambayo waliyatengeneza wenyewe ni kuwakatisha tamaa wachezaji . Jambo litakalosababisa Wachezaji kuzembea na kufungwa kwa utetezi wa mechi kupangwa karibu karibu.

Mara nyingi simba inapokata tamaa ndipo yanga inapopandwa na Morali na kuchukua Kombe.

Simba Chezini mpira acheni kulialia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…