pole sana mkuu...hivi unapiga coz gani sua pale.
Hivi ww ni kilaza wa namna gani umeshindwa elewa hapo juu....naona unafanya projection unazan ulivyodisco ww bas kila mtu atadisco....usiwe kilaza kama huna hoja ukae kimya...wengine mbona wamesoma na kuelewa
Da ndio wasomi wetu hawa. Unaambiwa ulichoanidka ni kama vile unatangaza mpira na haueleweki lengo la post ni nini kwa vile heading ni tofauti kabisa na content ya thread unaanza kutukana.
najibu uku boya wewe....uoga ulishakufa kwangu na uache vitisho vya kindezi...
Hizi habari za kishigongo zinapoletwa na "wasomi" zinapoteza ladha na maana nzima ya sredi
Mbona hakuna maajabu yoyote? Wasingeshirikiana ndo ingekuwa maajabu