Maajabu sokoine universirty of agriculture(sua)

Maajabu sokoine universirty of agriculture(sua)

Hivi ww ni kilaza wa namna gani umeshindwa elewa hapo juu....naona unafanya projection unazan ulivyodisco ww bas kila mtu atadisco....usiwe kilaza kama huna hoja ukae kimya...wengine mbona wamesoma na kuelewa

Da ndio wasomi wetu hawa. Unaambiwa ulichoanidka ni kama vile unatangaza mpira na haueleweki lengo la post ni nini kwa vile heading ni tofauti kabisa na content ya thread unaanza kutukana.
 
Da ndio wasomi wetu hawa. Unaambiwa ulichoanidka ni kama vile unatangaza mpira na haueleweki lengo la post ni nini kwa vile heading ni tofauti kabisa na content ya thread unaanza kutukana.

Mambo ya shigongo hayo yanaharibu watoto chakushangaza hatambui kosa lake yaani mtu kama huyo unampiga nondo ya kichwa mpaka akili izibuke...

we mwache awaulize wenzie akina Perry na holygrail
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya shigongo hayo yanaharibu watoto chakushangaza hatambui kosa lake yaani mtu kama huyo unampiga nondo ya kichwa mpaka akili izibuke...

we mwache awaulize wenzie akina Perry na holygrail

najibu uku boya wewe....uoga ulishakufa kwangu na uache vitisho vya kindezi...
 
Last edited by a moderator:
Hizi habari za kishigongo zinapoletwa na "wasomi" zinapoteza ladha na maana nzima ya sredi
 
Hizi habari za kishigongo zinapoletwa na "wasomi" zinapoteza ladha na maana nzima ya sredi

Sema wewe mkuu nimesema naonekana mjinga hivi hiyo habari inaweza kuletwa na msomi kweli?

JF imepoteza ladha watoto wengi wamevamia jukwaa
 
Pumzika kwa amani Jerome william Pallanjo..
 
rip jerome, ila mleta uzi umekaa kama layman kwa namna ulivyowasilisha. tena kama we ni mwanachuo ubadilike uache lugha za mtaani, vinginevyo bora usingeenda chuo
 
Back
Top Bottom