Maajabu sokoine universirty of agriculture(sua)

Maajabu sokoine universirty of agriculture(sua)

NAAMINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
672
Reaction score
235
Ilikuwa mida ya saa nne asubuhi pale mwili wa marehemu jerome william pallanjo ulipoletwa freedom square ukipokewa na wanafunzi wenzake hasa wanadarasa lake la Bsc.agricultural economics n' agribusiness...kiukweli sijaona ushirikiano kama huu walionao hawa vijana...basi kwa mbali nikamwona charles akiwa mstari wa mbele kuhakikisha mambo yanaenda vizuri,sara akiwa ndo kiongozi wa darasa la marehemu...niliweza kumuona abel(alikuwa nae siku marehemu anapata ajali)..maprofesa wengi,nikamwona mtu mmoja anaitwa ndunguru nyuma akiwa na huzuni kubwa mno...jirani akiwa na john ramazani,rahim,na yule jamaa mwingine simjui,pembeni nikawaona chalii mweupe wa A town,marua james,na wengine wengi...kiukweli vijana hawa wanadarasa la marehemu wameonyesha mshikamano tokea msiba unaanza hadi unaishia pale tulipompumzisha marehemu makaburini colar...Mungu ametoa na Mungu ametwaa jina lake libarikiwe..
 
kazi yake MOLA haina makosa...kila.nikiwa unit4..ze mask namkumbuka jerome..R.I.P bro..kuna yakujifunza meng kwa msiba huu hasa kwa wanamazmbu
 
kazi yake MOLA haina makosa...kila.nikiwa unit4..ze mask namkumbuka jerome..R.I.P bro..kuna yakujifunza meng kwa msiba huu hasa kwa wanamazmbu

pole sana mkuu nazani jamaa atakuwa alikuwa mtu wako wa karibu sana,usife moyo muombee ili apumzike kwa amani.....
 
"wengine wamejaliwa macho wasione na masikio wasikie ila wasielewe"..nazani ww ni mmoja wao kila la heri

Ahsante kwa busara zako...

Hongera kuwa great thinker....

Nashukuru kwa muda wako..

Be blessed.
 
Ahsante kwa busara zako...

Hongera kuwa great thinker....

Nashukuru kwa muda wako..

Be blessed.

nashukuru kwa kuelewa mana umefumbuka..


Na nashukuru kwa kulitambua kuwa mm ni great thinker..

Na nashukuru na ww kwa kutoa muda wako

be blessed too....
 
Hiyo habari yenyewe kaweka nusu haeleweki ndo mana wanadisco hawa

Hivi ww ni kilaza wa namna gani umeshindwa elewa hapo juu....naona unafanya projection unazan ulivyodisco ww bas kila mtu atadisco....usiwe kilaza kama huna hoja ukae kimya...wengine mbona wamesoma na kuelewa
 
Hahahah sipati picha siku uliyozaliwa we kiumbe....

Niliyokwambia ilikuwa sarcasm kupima ufahamu wako bahati mbaya hukuelewa..

First year una akili hizo huko awali ulikuaje??

Poor you!!!

"sina haja ya kubishana na ww dogo na ryt ungejua mm kwa sasa nipo wapi usingeongea huo upuuzi wako ila kwa ufupi naomba tusitafutiane Ban kama huna hoja unaweza ukapita"
 
Sikiliza wewe hapa sio Facebook ukileta habari weka full details sio kuleta ngonjera zenu hapa unaweka habari hata haileweki hapa hatutaki utoto na akili fupi mnfssssssssssss!!!!!!

Kama watu wenye akili ndefu ndo mpo kama ww basi taifa letu linahasara....
 
pole sana mkuu nazani jamaa atakuwa alikuwa mtu wako wa karibu sana,usife moyo muombee ili apumzike kwa amani.....

though kifo hakizoeleki..kikubwa MUNGU katwaa alichotoa..mapenz yake yatimizwe..AMINA
 
Back
Top Bottom