Maajabu: Timu inayotumia robo karne kufika makundi kumcheka anayefika robo fainal CL kila mwaka

Timu ilio fika robo kila mwaka ina weweseka haina furaha ina ogopa kupitwa na jinamizi la kutisha .
 
Simba vs Al Ahly 3-3 Aggregate
Wydad vs Enyimba 4-0 Aggregate
Mamelodi vs Petro 2-0 Aggregate
Esperance vs Mazembe 3-1 Aggregate

Kwa takwimu hizi za michezo ya hivi karibuni ni dhahiri shahiri Simba hapa Africa iko level ya akina Al Ahly, Wydad, Mamelodi & Esperance
 

Kwa makombe au kwa uwezo? Kama kwa uwezo hawa wameshaonesha uwezo wa kucheza nusu fainali je wewe ni lini umeweza kucheza nusu fainali?
Sitaki kugusia makombe
 
πŸ˜„πŸ˜„ afu wanasema watampga al ahly na waongoze kundii,,,,hawa utopwinyo ,,,wasipo kuwa wa mwsho kwenye kundi,,,wanazan hilo kundi wamo marumo
Unajiuliza na kujijibu mwenyewe,

Hivi pale utopoloni mnavutaga cha wapi?au ndio mwiko unawatoa akili?View attachment 2794556
Daah jamaa linabisha halijui kitu kisa pale utopolon hawakulamba hata 50 ndo mana linakasrika sana,,,likikumbuka wametoka kutembeza bakuri mda sio mrefuπŸ˜„πŸ˜„
 
Rage aheshimiwe!!, Unajua maana ya kucheza CAF kila mwaka? Yaani miaka 4 imekuwa kila mwaka?. Kabla ya 2019 Simba imewahi kuingia makundi ya CAF? Yanga amekaa miaka 25 yes. Hebu piga mahesaba yako kutoka 2019 mpk 1998 ni miaka mingapi afu utajua ww ni kiazi mbatata.
 
Mbona mnatumia nguvu nyingi kuwaaminisha watu kuwa nyie ni wakubwa?


Si muache wataona wenyewe
 
Punguza ujinga zwazwa wewe... Kuingia robo fainali ni kigezo Cha kuwa timu kubwa?, Hebu tupe vigezo vya kuwa timu kubwa Kama Simba atakuwa navyo!!, Unakuja na current performance ya timu ndio kuwa kigezo Cha ukubwa?, As vita waseme nini, Al hilal, El merkh, Petro Luanda?. Jaribu kutofautisha performance ya muda na ukubwa wa timu.
 


"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
Tupe vigezo vya timu kuwa kubwa acha ukilaza kuja na maandishi ya kukariri.... Mbumbu wewe!
 


MlVITABU VYA KIHISTORIAVINASEMA.

Mashabiki WA Yanga ni wapumbavu.

Mashabiki WA Yanga hawajaenda shule.

Mashabiki WA Yanga Hawana Elimu.

NI MI ZUMBUKUKU
 
Tupe vigezo vya timu kuwa kubwa acha ukilaza kuja na maandishi ya kukariri.... Mbumbu wewe!

Rank zinakusanywa timu inaposhiriki mashindano ya kimataifa.

Pale UNAPOFIKA Robo fainali, nusu Fainali na Fainali ndipo timu inapojikusanyia point nyingi zaidi za vilabu kwa CAF

Kama ilivyo Darasani mtu MWENYE Maks nyingi NDIO nambari Moja.

Kilaza sifuri.

Simba ni timu ya Nane kwa UBORA Barani Africa.

UTAKE USITAKE.
 
Huoni hapo kuna ......'AND'..........? Au hujui matumizi ya 'AND'?
Simba anaingia kwenye highest ranked team wakati Al Ahly, Wydad, Tp Mazembe wanaingia katika most successful club in Africa. Una la ziada usiyejua mpira?
Duh..... Lucy EIMERY NA MANARA WAJENGEWE SANAMU KUUUUUUBWAAAAAAA PALE FIRE
 
giant of mkyund# una kombe la CAF wewe umeingia final lini niyooko zakoo
Unaumia ukiwa wapi mkuu,?[emoji23][emoji23][emoji23]watu wanazidi kuusongonyoa mwiko huko nyuma ndio maana akili zinawaruka,
Kenge wahed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…