Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba vs Al Ahly 3-3 Aggregate
Wydad vs Enyimba 4-0 Aggregate
Mamelodi vs Petro 2-0 Aggregate
Esperance vs Mazembe 3-1 Aggregate
Kwa takwimu hizi za michezo ya hivi karibuni ni dhahiri shahiri Simba hapa Africa iko level ya akina Al Ahly, Wydad, Mamelodi & Esperance
😄😄 afu wanasema watampga al ahly na waongoze kundii,,,,hawa utopwinyo ,,,wasipo kuwa wa mwsho kwenye kundi,,,wanazan hilo kundi wamo marumoImezuka tabia hapa jukwaani watu kufungua nyuzi zenye utopolo mwingi wakibeza mafanikio ya MOST SUCCESSFUL CLUB AND GIANT OF AFRICA. Huu ni uzamwamwa, uzuzu, utaahira na uzumbukuku wa mashabiki wa kikundi cha topoloz.
Bado hamjasema kenge nyie, UZI TAYARI.....
Daah jamaa linabisha halijui kitu kisa pale utopolon hawakulamba hata 50 ndo mana linakasrika sana,,,likikumbuka wametoka kutembeza bakuri mda sio mrefu😄😄Unajiuliza na kujijibu mwenyewe,
Hivi pale utopoloni mnavutaga cha wapi?au ndio mwiko unawatoa akili?View attachment 2794556
Mbona mnatumia nguvu nyingi kuwaaminisha watu kuwa nyie ni wakubwa?HAPA NI HOME OF GREAT THINKERS NA SI FB MKUU.
1.Simba imekusanya Points za kutosha huko Robo fainali inakoishia.
Na Simba imefika kuwa timu ya Nane kwa UBORA kwa sababu ya points inazokisanya huko.
2. Kuna zawadi Kwa Kila Hatua timu inapopitia Simba kupata BILIONI 2 robo fainali sio ishu.
3. Simba imehost UFUNGUZI WA AFRICAN SUPER League kwa sababu ya ukubwa wake
Tumeona WATU mashuhuri wakija Tanzania eg RAIS WA FIFA.
4. Simba imeishia Robo Fainali super League
Fedha za maandalizi
BILIONI 5.5 +Robo fainali BILIONI 2.5.
JUMLA BILIONI 8.5.
5. SIMBA NI SUPER 8 TIMU NANE BORA ZA AFRIKA
MSITAKE KILA SAA TUSEME WENYE AKILI NI WAWILI TU
Punguza ujinga zwazwa wewe... Kuingia robo fainali ni kigezo Cha kuwa timu kubwa?, Hebu tupe vigezo vya kuwa timu kubwa Kama Simba atakuwa navyo!!, Unakuja na current performance ya timu ndio kuwa kigezo Cha ukubwa?, As vita waseme nini, Al hilal, El merkh, Petro Luanda?. Jaribu kutofautisha performance ya muda na ukubwa wa timu.HAPA NI HOME OF GREAT THINKERS NA SI FB MKUU.
1.Simba imekusanya Points za kutosha huko Robo fainali inakoishia.
Na Simba imefika kuwa timu ya Nane kwa UBORA kwa sababu ya points inazokisanya huko.
2. Kuna zawadi Kwa Kila Hatua timu inapopitia Simba kupata BILIONI 2 robo fainali sio ishu.
3. Simba imehost UFUNGUZI WA AFRICAN SUPER League kwa sababu ya ukubwa wake
Tumeona WATU mashuhuri wakija Tanzania eg RAIS WA FIFA.
4. Simba imeishia Robo Fainali super League
Fedha za maandalizi
BILIONI 5.5 +Robo fainali BILIONI 2.5.
JUMLA BILIONI 8.5.
5. SIMBA NI SUPER 8 TIMU NANE BORA ZA AFRIKA
MSITAKE KILA SAA TUSEME WENYE AKILI NI WAWILI TU
Punguza ujinga zwazwa wewe... Kuingia robo fainali ni kigezo Cha kuwa timu kubwa?, Hebu tupe vigezo vya kuwa timu kubwa Kama Simba atakuwa navyo!!, Unakuja na current performance ya timu ndio kuwa kigezo Cha ukubwa?, As vita waseme nini, Al hilal, El merkh, Petro Luanda?. Jaribu kutofautisha performance ya muda na ukubwa wa timu.
Tupe vigezo vya timu kuwa kubwa acha ukilaza kuja na maandishi ya kukariri.... Mbumbu wewe!"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
Tupe vigezo vya timu kuwa kubwa acha ukilaza kuja na maandishi ya kukariri.... Mbumbu wewe!
Maajabu timu ambayo haijawahi kushiriki fainali CAF kuicheka timu yenye medali za CAF 😄😄😄
Tupe vigezo vya timu kuwa kubwa acha ukilaza kuja na maandishi ya kukariri.... Mbumbu wewe!
Mbumbumbu huna issue.Kanywe sumu ufe
Duh..... Lucy EIMERY NA MANARA WAJENGEWE SANAMU KUUUUUUBWAAAAAAA PALE FIREHuoni hapo kuna ......'AND'..........? Au hujui matumizi ya 'AND'?
Simba anaingia kwenye highest ranked team wakati Al Ahly, Wydad, Tp Mazembe wanaingia katika most successful club in Africa. Una la ziada usiyejua mpira?
Shughulika na timu Yako tuImezuka tabia hapa jukwaani watu kufungua nyuzi zenye utopolo mwingi wakibeza mafanikio ya MOST SUCCESSFUL CLUB AND GIANT OF AFRICA. Huu ni uzamwamwa, uzuzu, utaahira na uzumbukuku wa mashabiki wa kikundi cha topoloz.
Bado hamjasema kenge nyie, UZI TAYARI.....