Maajabu tuzo ligi kuu bara

Maajabu tuzo ligi kuu bara

Let's back to EPL September player of the month in terms of record btn Mo Salah and CR7

CR7 don't deserve to have An award but with unexpected moment CR7 got an award, Do you know why?
Kosa la EPL isiwe kigezo cha kuhalalisha kosa TFF.

UK wanaume wanaolewa je wewe upo tayari kuolewa kwa kuwa wanaume wa kiingereza wa wanaolewa?
 
una puyanga Dickinson Job kwako sio beki mzuri? Wewe ni coach una nafasi moja kati ya Feisal na Nado uta muacha Feisal umchukue Nado?
Leo nimeamini utopolo wote ni MAUMBWA na MANYANI na hakuna mwenye akili isipokuwa babaake manara na kikwete ambao wanaakili za kuvukia barabara tu.

Hoja sio nani ni bora kwa sasa ila hizo tuzo wanaangalia msaada wa mchezaji kwa msimu mzima wa mwaka 2020/2021.

sasa kama unaamini kuwa msimu uliopita Feisal alikuwa bora kuliko Luis na Idy au Job alikuwa bora kuliko Mangalo inabidi ukapimwe akili.
 
Wangeangalia hata assist na magoli
 
SALAAM WAKUU.

Kila nikitazama orodha ya wachezaji wanaowania tuzo mbalimbali msimu huu napigwa na butwaa.

Naona hawa TFF wamewaweka baadhi ya wachezaji ili kusawazisha ule Usimba na uyanga ila sio kwa kutazama msaada walioutoa kwa timu zao katika msimu uliopita.

Nashangaa kumuona Feisal Salum katika orodha ya wanaowania uchezaji bora halafu simuoni Idy Nado na Luis hivi ni kitu gani alichofanya Feisal kuwazidi wawili hao.

Yan Fei mwenye magoli 5 na pasi za magoli 4 niwakuwepo kwenye kinyang'anyiro mbele ya nado mwenye magoli 11 na pasi za mabao 9 au mbele ya Luis mwenye mabao 10 na pasi za mabao 9?

au Dickson Job alifanya kitu gani kumzid Abdulmajid Mangalo?

TFF MSIFANYE MAMBO KWA AJILI YA KUWARIDHISHA UTOPOLO KWA KUWA WANACHONGA NGENGA SANA MTAHARIBU FANYENI VITU KULINGANA NA UHALISIA ULIVYO LA SIVYO KWA HUU UJINGA WENU WA KUTAKA KUBALANSI USIMBA NA UUTOPOLO HATUTAENDELEA KAMWE.
Ukiondoa Chama, na Luis best player contender alipaswa kuwa

Abdulmajid Mangalo
Pascal Wawa.
 
Eti manara muhamasishaji!!! Mtu kutwa kuchwa mnampiga mifaini ya kukiuka kanuni, kutukana waandishi na kutishia kuwadhalilisha leo mnamuona bora? TFF ni matahira yaliyojikusanya
Tuzo ya mhamasishaji bora Antonio Nugaz amekuwa robbed tu he deserved it.
 
Basi hata inahitaji nguvu kubwa sana kuongelea hilo mkuu mpaka mishipa ya shingo inakutoka

Andaa tuzo zako na hao wanaostahili kupewa tuzo kwa vigezo ulivyo ona ni sahihi wape zawadi zao

Simple and clear

Huyo Abdulmajid Mangalo, how better is he? Mpk akose namba timu ya Taifa, in terms of Feisal, how can a waste and bad player apate namba Kwa timu ya Taifa kwa kila kocha anayekuja Taifa Stars

If u know football, You will be aware of this.
Abdulmajid Mangalo anakosa haitwi kwa sababu kwenye namba anayocheza kuna regular starter na bado wako kwenye kiwango bora.

Angalia timu anayochezea na mafanikio aliyoipa mpaka sasa.

Kumbuka with a very low bajeti timu yao imekuwa ya nne kwenye ligi, semi final kwenye Azam Sports Federation Cup.

Kwenye michuano ya kimataifa wamecheza mechi tatu with 100% win bila kuconceed goli.

Nyinyi na faisal wenu mmefungwa home and away na Rivers with your Faisal hakuregister even a single shot on target.

Ukiondoa Chama, Luis na Idd Nado Abdul Majid Mangalo alideserve hii tuzo hata msimu uliopita alitakiwa kuwa kwenye category.
 
Zile tuzo bila Miquissone, Nado, Dube, Onyango ni batili. Kwenye beki pale toa Kapombe na Job weka Onyango na Abdulmajid Mangalo. Kiungo toa Feisal kabisa, ana kiwango bora sasa nadhani hata mechi 3 za mwisho alikua on form kushinda Chama na Nado. Ila hakua bora msimu mzima kama wenzie namba don't lies
Kwa Kapombe inaweza kuwa sawa

Kacheza mechi zote za Ligi dakika tisini na mechi za FA zote dakika tisini alikuwa na msimu bora kwenye CAF champions League.

Toa Onyango weka Wawa alikuwa na msimu mzuri sana kwenye mechi zote za ligi ukilinganisha na Onyago na probably alicheza mechi nyingi za ligi kuliko Onyango.

Lakini wote hao Onyango, Wawa hawawezi kufika alichokifanya Abdulmajid Mangalo mkuu
Mimi ni diehard fan wa Simba ila kwa Majid nasema wazi amekuwa robbed hiyo nafasi.
 
Abdulmajid Mangalo anakosa haitwi kwa sababu kwenye namba anayocheza kuna regular starter na bado wako kwenye kiwango bora.

Angalia timu anayochezea na mafanikio aliyoipa mpaka sasa.

Kumbuka with a very low bajeti timu yao imekuwa ya nne kwenye ligi, semi final kwenye Azam Sports Federation Cup.

Kwenye michuano ya kimataifa wamecheza mechi tatu with 100% win bila kuconceed goli.

Nyinyi na faisal wenu mmefungwa home and away na Rivers with your Faisal hakuregister even a single shot on target.

Ukiondoa Chama, Luis na Idd Nado Abdul Majid Mangalo alideserve hii tuzo hata msimu uliopita alitakiwa kuwa kwenye category.
You know nothing about football
 
una puyanga Dickinson Job kwako sio beki mzuri? Wewe ni coach una nafasi moja kati ya Feisal na Nado uta muacha Feisal umchukue Nado?
Yes in terms of Stats Nado produced more kuliko Faisal
 
una puyanga Dickinson Job kwako sio beki mzuri? Wewe ni coach una nafasi moja kati ya Feisal na Nado uta muacha Feisal umchukue Nado?
Suala hapa si nado na feisali mzuli nani inabidi uelewe,,, inawezekana ikawa feisal ni mzuli kuliko nado, isipokuwa kinachoangaliwa alifanya nini kumshinda nado kwenye msimu husika wa hiyo tuzo inayoshindaniwa! , tunakuja kwenye takwimu sasa ambazo ndio kigezo kikubwa,, nado ana assist nyingi na goli nyingi kuliko huyo feisal
 
Mimi nazungumzia tuzo
Hujawahi kujiuliza huyo Abdulmajid Mangalo mnaye mpigia chapuo kwenye Tuzo kwanini hapati wala kuitwa timu ya Taifa na makocha wenye CV zao na kila siku wanamuona anacheza?
 
Back
Top Bottom